Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 3,955
- 6,885
- Thread starter
- #21
Ukijaribu sasa kutoa suggest kwake linaamka timbwiliKuna Ile Tabia umebanwa Hadi unapumulia watu migongoni alafu gari linasimama kila kituo konda anapiga kelele utasikia "gari leupeeee halina watu kabisa"
Huwa namtukana sn konda kimoyomoyo
Watu wa daladala tuna maisha magumu sn walah
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app