Utani wa kweli unauma sanahPole sana nimemuona sehm kavaa kanga moco
Na wana maudhi!!! Wakipendwa hawapendeki..!Ungajua maudhi yenu. Basi tu wacha niishie hapa
Pole mkuu.. inatokea hiyo hali funzo kubwa hapo ni kuepuka kuweka matarajio makubwa kwenye maisha ya mtu mwingineMahusiano yangu na mpenz Wang yalikua yanaenda vzr......alikua akinisikiliza..nitakapo muhitaji lazma aje. Yaani alikua anathamini sana kauli yangu....sikufikiri kama ananichit..........
Juzi juzi nimejua anachepuka ....looooooooooooh bora hata nisingejua...baada ya Mimi kumkalisha chini na kumlaumu kwa kuchepuka....ndo kabadilika kabisa mapenz yote kahamishia hukohuko anakochepukia....................kwangu ni zero..,
Najiuliza wenda Mimi ndo nilikua mchepuko wake.....
USHAULI KWA WANAUME WENZANGU......Dem usimpende sana mchukulie kawaida ....hata ukiachananae uwe safi tuu....namaanisha kuwa mguu mmoja ndani mwingine njee....
Hapa nimejaa stress ..nahisi.mwili wangu unawaka moto
Pole mkuu ila hawa viumbe ni chapa ilale otherwise utaumiza kichwa bila sababu ya msingi. bora huo muda unaotumia kumuwaza chukua fyekeo jaribu kufyeka majani uone huo mwendo kasi wake kama wa bombadia😀😀😀😀

daah... na demu mlipokutana yeye alijiteteaje.. kumsikiliza pia ni sehemu ya kujua tatizo.. kama alikabwa na wavuta bangi njiani..!!!

We oa achana na story za humu kukatishana tamaa kwingiKila siku malalamiko asee ndo sitaoa sasa ngoja nile vyangu kwanza![]()
Wananchanganya sasa humu kisa wao wametangulia sasa sione sifa isiyopondwa umu ndaniWe oa achana na story za humu kukatishana tamaa kwingi



watu bana sijui tuishii ivi ivi tu asa mtu unakuwa na jumba pekeako jaman haaacha kabisaNa wana maudhi!!! Wakipendwa hawapendeki..!
ukikua utajuaMauzi gani ww
Dah asee kweli imenikuta hiyo kuna manzi nlimzimia mbaya bac alikuwa akinifanyia kibri nika achana nae kwa kuwa alijua nimempenda Sana, Dah nlijuta kupenda mpaka leo sitaki manzi tena full stopNa wana maudhi!!! Wakipendwa hawapendeki..!