floow
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 411
- 858
Mahusiano yangu na mpenz Wang yalikua yanaenda vzr......alikua akinisikiliza..nitakapo muhitaji lazma aje. Yaani alikua anathamini sana kauli yangu....sikufikiri kama ananichit..........
Juzi juzi nimejua anachepuka ....looooooooooooh bora hata nisingejua...baada ya Mimi kumkalisha chini na kumlaumu kwa kuchepuka....ndo kabadilika kabisa mapenz yote kahamishia hukohuko anakochepukia....................kwangu ni zero..,
Najiuliza wenda Mimi ndo nilikua mchepuko wake.....
USHAULI KWA WANAUME WENZANGU......Dem usimpende sana mchukulie kawaida ....hata ukiachananae uwe safi tuu....namaanisha kuwa mguu mmoja ndani mwingine njee....
Hapa nimejaa stress ..nahisi.mwili wangu unawaka moto