Fedha za MCC tunazihitaji, masharti yanatekelezeka

Fedha za MCC tunazihitaji, masharti yanatekelezeka

INSHU YA DR MWAKA ILIPANGWA

Hivi karibuni mdada machachari anayejulikana kwa kutukana watu bila uoga akijivunia kutoishi Tanzania hivyo mkono wa dora hauwez kumkamata na ambaye alikuja ili agombee ubunge akaishia polisi Mange Kimambi aliibuka na kuanza kumsakama dr Mwaka kuwa ni daktari feki na amekuwa akiwafanyia vitu vya ajabu akina mama.
Iliniumiza akili kumuwazia Mwaka kwa sababu nina ndugu yangu aliyepata tiba kwa huyu jamaa na akapona tatizo lake na leo ana mtoto na furaha maishani mwake.
Nikajiuliza hivi kama kuna watu walifanyiwa vitendo visivyofaa mbona hawajawah toka hadharani? Basi hata huyo Mange mbona hakuweka ushahidi juu ya hao watu zaidi ya porojo?
Nikajiuliza tena! Hivi kila sehemu ya tiba mfano Muhimbili kila anayeenda kupata tiba anapona? Iweje kwa Mwaka waseme kuna wasiopona? Inamaana walitaka wote walioenda pale wapone? mpaka wale waliotoa mimba na kuharibu vizazi?
Wakageuka na kusema anajifanya daktari wa kisasa wakati ana kibali cha mitishamba! Nikajiuliza kuna mtu alishapewa dawa za hospital kule kwa ? Mwaka? Mbona wote wanaoenda pale wanapewa mitishamba na matunda pekee?
Wakauliza amesomea wapi udaktari hivi kumbe uganga wa mitishamba unasomewa? Chuo gani hapa Tanzania na mimi niende??
Nilipata walakini lakini baada ya mishemishe za kutwa tangu Mwaka aumbuliwe kule Insta kama wanavyodai kuna mtu mpya kaibuliwa na anapewa promo sana anaitwa Fadhageti! Kwa sasa ukienda kila page ya superstar utakuta kampost huyo jamaa tena kwa advetise nyingi kuwa anatibu matatizo ya uzazi na sio tapeli na kumpamba kibao.
Jana usiku Mange naye akampost kwa sekunde chache ila watu walipomshambulia akatoa!
Baada ya kuunganisha hayo yote nikagundua kuwa kuna mchezo unaendelea chini kwa chini tena watu wakiwa wamelipwa pesa ya kutosha(mange) na mheshimiwa mmoja ili tu wamshushe Mwaka na kumpandisha jamaa mwingine baada ya kuona Mwaka anakuwa tishio kwa matabibu wenzake wa tiba za asili!
Naamin hamtaweza kwa sababu waliowahi kupata tiba kutoka kwa Mwaka na kupona ni wengi na wanashuhuda zao!!
Sinema bado inaendelea subirini tuone mwisho wake

Junior
Insta USHAURI_mahusiano
 
Last edited by a moderator:
...hizo fedha hata kama zikitolewa hatutaona mabadiliko yoyote, kwani zilishatolewa ngapi huko nyuma,zikafanya nini? bora wazungu wakae nazo tu, hata kama wakitekeleza(magamba) hayo masharti.
 
...mmh; hata mimi nahisi kuna mkono wa mtu kwenye hili,ila hapa sio mahala pake.Hapa ni MCC, oky?!
 
Last edited by a moderator:
Uchaguzi mpya ufanyike haraka iwezekanavyo mambo yaishe, maalim naye aheshimu sheria aache mambo yake ya kujitangaza utafikiri yeye ndo ana mamlaka

...absolute idiot!
 
Misaada hadi lini? ,kwa mgogoro wa Zanzibar ni picha mbaya kwa democracy yetu, lakn tusipende sana misaada Bali inabid tuwe makini kuzalisha vyetu na kusimamia kwa makini tutasonga mbele tu, huku kupenda misaada madhara yake wanataka tuwe mashoga sasa

ili hili lifanikiwe kunahitajika akina nyerere na gadaf 50 wenye mawazo sawa.
 
Kufuli la MCC laweza kutumika kufunga na milango mingine kimataifa
 
Hakuna umaskini mbaya kama wa fikra. Lazima tufike mahali budget ya nchi iendeshwe kwa fedha zetu.

Better sooner than later. Kama kukosa fedha za MCC itasaidia kujitegemea ki budget, so be it.

Ni rahisi kwako kusema hivyo
lakini wanaotegemea hizo pesa kwa maisha yao watateseka tusipozipata
sikumbuki kama nipo sahihi lakini ARV za bure si ndo zinatolewa kwa pesa hizi?
 
Hela tunataka ila isitufanye watumwa wa Kimagharibi. Ukweli tunavyoitaka ndo tunatawaliwa zaidi. Cuba imekuwepo kwa miaka zaidi ya 60 haijui msaada wa Benki ya Dunia au IMF. Ifike wakati tujikite na falsafa za kimaendeleo zinaweza kusaidia mataifa yetu.

Wakati mwingine nchi za Kimagharibi kweli zinatuona Waafrika ni watoto sana ambao hawana uwezo hata wa kuamua mambo yao ya ndani.

Ukiangalia https://en.wikipedia.org/wiki/Edward_Snowden na https://en.wikipedia.org/wiki/Julian_Assange utagundua wamekimbia nchi zao kwa sababu ya sheria za mitandaoni. Pia, mwaka huu Marekani imepitisha sheria kali sana juu ya Uzalendo wa nchi.

Sisi kwetu wanaona kila mtu aingie jikoni eti ndo tuna demokrasia. Naamini baada ya miaka 50 kama Afrika itakuwa inajitambua kama Hayati Ghadaffi alivyotaka, tutakuwa tunafanya tunayotaka.

africa countries must take responsibility to unite,to industralize africa,build banks and get rid of colonial institutions by putting them out of business.we have to build africans business,hire african,buy african and spend africans.
 
Mimi nawashukuru MCC kwa kutugutusha watanzania na kuturudisha nyuma kifikra ili tujijue tumetoka wapi.
Ukishaingia katika tabia ya kiinchi kuvaa tai kumfurahisha mfadhili ili ndo uendelee, utakuwa na matatizo daima.
Watanzania lazima turudi nyuma na kujiona ni wapi tumekosea hadi kuingia hizi tabia za kijinga za kumfurahisha mfadhili , ati ndo utaendelea.
Haikuwa hivyo chini ya Mwalimu,

Inabdi watanzania tujifunze kukaza mikanda, tukope hiyo pesa na miradi iendelee.
Hata waswahili waliseam , mtumai cha nduguye hufa masikini.

Hiyo miradi iliyokuwa ifadhiliwe na MCC, tunaweza kabisa kuifadhili sisis wenyewe , tena kwa kodi zetu-tukiwa serious!

Na tunaweza kuachana kabisa na MCC, na kudhalilishwa huku.
Kodi ikusanwe, watu wafanye kazi maisha yaendelee, MCC wabaki na hela yao.

kaka hacha kunifurahisha,hi kiti ni plan toka miaka hiyo ya vita baridi walipo anzisha mgogoro wa chumi kwa nchi nyingi kwa kutumia uhaba wa mafuta uliopelekea nchi kuporomoka kiuchumi.hukumbuki miaka ile nyerere anawambia wananchi wafunge mikanda ilikuwa shida ni kutokubaliana na mashariti na mabadiliko ya kisera na itikadi wananchi wengi walivyo wajinga hawakuliana hili.
Kiufupi kama ilishindikana kipindi cha nyerere hapa ni majuto mpaka hapo afrika itakapo ungana au bank ya BRICS itakapo anzishwa.
 
Unasahau pia kuwa Mwalimu yalimshinda akaachia ngazi na fedhanyetu ikashuka thamani! Hiyo nguvu kwa dunia ya sasa hatuna. Afadhalimkidogo wakati hule wa vita baridi, lakini siyo sasa!

your right bro kwa akili na tamaa za viongozi wa kiafrika hi haiwezekani kamwe mpaka yesu anarudi
 
Mnafik mkubwa wewe. Eti unaishi bila umeme tangu nchi hii ipate uhuru wakati unashinda hapa JF usiku kucha kuperuzi na kumwaga pumba. Achana na hiyo lugha ya kuzungusha mikono aisee, imepitwa na wakati.

we nae akili zako F,kwani kama anatumia solar
 
Uchaguzi mpya ufanyike haraka iwezekanavyo mambo yaishe, maalim naye aheshimu sheria aache mambo yake ya kujitangaza utafikiri yeye ndo ana mamlaka

kwani lowassa angejitangaza hapa Tz bara uchaguzi ungerudiwa,kuna haja gani ya kufanya uchaguzi kama una uhakika mgombea wako atashinda.acha mahaba ya kike
 
Hakuna umaskini mbaya kama wa fikra. Lazima tufike mahali budget ya nchi iendeshwe kwa fedha zetu.

Better sooner than later. Kama kukosa fedha za MCC itasaidia kujitegemea ki budget, so be it.

may be after 500 years to come.
 
Kama Urais wa Shein ni muhimu kwa mustakabali wa Zanzibar basi Jecha atoe mfukoni mwake pesa zilizokuwa zitolewe na MCC.
 
We can solve our own internal problems but why we have to do it because of external influnces.... Umaskin wa fikra nataman to solve haya matatzo na tusichukue hizo pesa zao....

acha vituko wewe kwa hali ya nchi za kiafrika ni kitu kisichowezekana.labda apatikane rais kichaa aseme kuanzia leo hatutumi hela kama medium of exchange au a print more money.
Mfano mdogo kwa mwaka huu wa fedha hadi sasa ni mwisho wa kipindi cha 2 kati ya vipindi 4 vya mwaka wa fedha hamna hela yoyote iliyo enda halmashauri yoyote Tanzania kutoka serikali kuu isipokuwa ya msaada wa UNCEF tu
 
We can solve our own internal problems but why we have to do it because of external influnces.... Umaskin wa fikra nataman to solve haya matatzo na tusichukue hizo pesa zao....

The culture of conceding defeat and peaceful hand over of power is still in its infancy stage in most African countries including Tanzania.The Tanzania mainland situation would have been the same to the current situation in Zanzibar if Lowassa had won.
We still need an external force to enforce democratic elections.Period.
 
Back
Top Bottom