KERO Fedha za Likizo Halamshauri ya Rorya inalipwa kwa kuangaliana usoni, ni maelekezo ya Serikali Kuu?

KERO Fedha za Likizo Halamshauri ya Rorya inalipwa kwa kuangaliana usoni, ni maelekezo ya Serikali Kuu?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
NAFICHUA UOVU KUTOKA HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya, Mimi ni mtumishi katika ngazi Elimu Msingi tuna kero ya kutolipwa kwa fedha yetu ya likizo toka Desemba Mwaka 2024 mpaka sasa.

Licha ya kujaza fomu ya malipo zaidi ya mara tatu lakini cha kushangaza wameitwa watu wachache sana na wanaojuana nao ndiyo wamelipwa tu wengine tumeachwa bila taarifa yoyote.

Kero hii ifike Serikali kuu, yenyewe ndiyo inapanga yote hayo?
 
Back
Top Bottom