Fedha za Escrow Hali Tete kwa Nchi !

Fedha za Escrow Hali Tete kwa Nchi !

Unaonekana huna unachojua kwenye hili jambo ushauri wangu kwako ungefanya hii biashara haya mambo ya uchambuzi unatia aibu sana.
Tupe uchambuzi wako yatosha.Vinginevyo tutakuhesabu kama mnufaika wa wizi mkubwa huu.Nadhani we mjinga,si unalipa umeme?capacity charge inaongezwa kwenye bili zako we una ng'aa macho una watetea
 
Hawa jamaa wanatisha,tunachargiwa capacity charge zikisha kusanyika ndiyo wajanja wanagawana halafu wana sema siyo za umma.Nchi kama China watu wa namna hii wanapigwa risasi
 
Kwa kuwa Capacity Charge ilikuwa Over calculated. Na kwakuwa capacity charge ina lipwa na wananchi kupitia manunuzi ya umeme. Hivyo wateja wa Tanesco ambao ni wananchi wa TZ walitozwa zaidi.

Tunataka capacity charge mpya ikokotolewe na kila mwananchi arudishiwe umeme wenye thamani ya fedha iliyotozwa zaidi tangu IPTL ilipoingia.

MKUU HUO NDIO ukweli na sissi tunadai hela nyingi sana TANESCO. na sissi turudishiwe baada ya RECALCULATION, wapi EWURA ?
 
Unaonekana huna unachojua kwenye hili jambo ushauri wangu kwako ungefanya hii biashara haya mambo ya uchambuzi unatia aibu sana.

halafu we ---- usituharibie mood p'se hiyo biashara yako peleka Mombasa!!! hao mama zetu wanaouza hivyo vitumbua si kwamba wanapenda! shenzi type!!!
wametusomesha kwa hivyo vihela! usilete dhihaka p'se! kama we ni mtoto wa kajumulo to hell!!
 
Yaaani nimekupa maneno na matusi yote unayoyajua nimeogopa kuondoka kwa kuogopa ban
Kaka humu JF kuna watu kazi yao ni kutetea kila kitu kisicho na mantiki kwa Taifa kana kwamba wao wanakaa Newyork! Wapo kuaminisha watu kuwa kinyesi hakina harufu wakati siyo kweli!
 
IPTL wamezipata wapi ?

Nafuu turuhusu wakoloni warudi kitutawala kwani naamini hawawezi kutufanyia unyama unaofanywa na serikali ya kifisadi iliyokisa mandate ya kituongoza kila unaemgusa ni jambazi hadi ikulu yetu wamejaa walanguzi wa Mali Za watanzania
 
Kama hukuweza kumwelewa Rais kichwa chako sawa na kile cha sugu anayejua kupigana tu basi hili jambo jepesi na ukweli wake uko wazi kabisa hutaki unaacha zile pesa sio mali ya umma ni pesa za iptl mwisho.
Wala sio za umma, ni za wakubwa na IPTL Sis zishatoka kwetu sio zetu tena. Kwanza Rais kazunguka sana, alitakiwa atumie dk 20 kueleza kuwa pesa za kwo na IPTL.
 
Wala sio za umma, ni za wakubwa na IPTL Sis zishatoka kwetu sio zetu tena. Kwanza Rais kazunguka sana, alitakiwa atumie dk 20 kueleza kuwa pesa za kwo na IPTL.

Tumeuziwa umeme wa kilanguzi na kupandishiwa bei ya umeme ili kutunisha esrow ac.
Hizo fedha ilipaswa zirudi Tanesco kupunguza bei ya umeme
 
JK ameeleweka vizuri sana kwa watu ambao wanauwezo wa kufikiri na kutafakari kwa kina, pamoja na maoni yake aliyoyatoa lkn bado alijielekeza ktk ripoti ya CAG ambaye alimnukuu akiwaambia TANESCO kuwa fedha zilizoko ktk A/c ya Escrow si zao(TANESCO ), hiyo inamaanisha fedha zilikuwa ni za IPTL, swali la kujiuliza ni kwa nini TANESCO waliendelea kulipa kiwango ambacho waliamini kilikuwa overcharge? Utata, leo unasema fedha za umma! Haiwezekani kabisaaa

Tatizo lako unaandika ukiwa unapigwa miti makalioni.
Kumuelewa siyo lazima alichosema kiwe sahihi.
 
Unaonekana huna unachojua kwenye hili jambo ushauri wangu kwako ungefanya hii biashara haya mambo ya uchambuzi unatia aibu sana.

Naona kitu chenye ncha kali kimeingia kwenye bottom yako
 
Unaonekana huna unachojua kwenye hili jambo ushauri wangu kwako ungefanya hii biashara haya mambo ya uchambuzi unatia aibu sana.

Hiyo biashara ndio imetulea dada mjepo.
Wewe endelea kulelewa na waume zako mafisadi.
Halafu uchambuzi uko poa na makini na umeeleweka.
 
Last edited by a moderator:
Kashfa ya uporaji wa fedha za wananchi kupitia bili za Luku via Tanesco hadi BOT Escrow ac bado inasumbua vichwa wananchi na wahisani.

Wananchi wamepata uelewa wa moja kwa moja kwa lugha nyepesi ya kiswahili kuwa zile fedha za escrow zimetoka mifukoni mwao kwa kulipia umeme hewa, wa kilanguzi kupitia Tanesco na hatimaye kuhifadhiwa pale BOT zikiitwa escrow monies kwa amri ya mahakama.

Suala hili litakuwa gumu kwa kuwa ukweli uko wazi kwa wananchi na wahisani !

View attachment 213763
View attachment 213764

Wananchi gani? Kina siye tunaocheza na mtandao? Acha sifa basi, unajua huo siyo ukweli. Kwetu sisi, "WACHUKUE FASTA FASTA"
Wasipochukua tunawaita mafala.
 
mkuu huo ndio ukweli na sissi tunadai hela nyingi sana tanesco. Na sissi turudishiwe baada ya recalculation, wapi ewura ?

hiii ndio hoja kuuuuuuubwa katika sakata hili, tena imechelewa sana kuwekwa humu. Asante mleta mada. Wananchii na watumia umeme tumenyimwa kurudishiwa chenji yetu bila shaka mamilioni baada ya pesa kukwapuliwa kabla ya kukokotolewa
kiwango halisi....tunadai chenji yetu???? Ndio maana hela imegawiwa kama njugu haina uchungu. Damn!
 
Wananchi tunapigika sana na hili suala, yaaani hela zooote hizi from Richmond-Escrow zinatoka mifukoni mwetu, tunaongezewa bei ktk kununua umeme iwe wa luku au wa kusoma kwenye mita then kina JK wanatoa order kwamba hela ikusanywe pale ktk Escrow acc at last wanakuja kugawana.

Rahisi anahalalisha wizi kwa kutetea wezi ndani ya nchi yake kwa kuwanyonga na kuwaning'iniza na kuwakamua wananchi wake ili yeye na genge lake waneeemeke na fedha.
Hii inauma sana.

Tuliyempa dhamana ya kuongoza hii nchi anasumbuliwa na ile Circle ya UMASIKINI, UJINGA NA MARADHI otherwise mtu mwenye akili timamu huwezi ukawa MJINGA kiasi hiki ukaleta UMASIKINI wako kwa wananchi kwasababu ya MARADHI yako ya Akili na Mwili wako.
 
Kweli mkubwa!
Wananchi wanapaswa kujua kuwa fedha zilizogawanwa kwenye Lumbesa, Sandarusi nk zimetoka mifukoni mwao kupitia bili za umeme
 
Nchi ina masenge wengi hii!

kamanina zao!:angry:
 
Kweli mkubwa!
Wananchi wanapaswa kujua kuwa fedha zilizogawanwa kwenye Lumbesa, Sandarusi nk zimetoka mifukoni mwao kupitia bili za umeme

Huo ndio ukweli na wewe ndo umetoa ufafanuzi rahisi na si yule aliyepata mgao kupitia mke wa mfanyakazi wa ikulu!!
 
Back
Top Bottom