Gamba la Chuma
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,243
- 346
Kwa kuwa Capacity Charge ilikuwa Over calculated. Na kwakuwa capacity charge ina lipwa na wananchi kupitia manunuzi ya umeme. Hivyo wateja wa Tanesco ambao ni wananchi wa TZ walitozwa zaidi.
Tunataka capacity charge mpya ikokotolewe na kila mwananchi arudishiwe umeme wenye thamani ya fedha iliyotozwa zaidi tangu IPTL ilipoingia.
Umesema vizuri sana. Hiyo ndio Hali yenyewe na iko very complicated kwa sababu walioiba wamefanya hivyo huku wakidhani wamesuka mipango hiyo kwa ufundi sana na hivyo kujulikana ilikuwa sio option kwao. Ndio maana hela ilibebwa kwa magunia kuficha zilikohamishiwa. Definitely, this issue is a certification for the demise of CCM. But only if we stand together as a nation to demand money back.Hili sakata la Escrow ni ufisadi ambao uko kwenye ngazi ya kitaifa. Ndio maana unaona hata Raisi mkuu wa nchi amechanganyikiwa, atafuta mahali pa kujificha, maana yake ni kwamba the president himself knows too much. Ufisadi mkubwa kama huu unahusisha wengi kwenye baraza wa mawaziri na viongozi wakuu wa nchi. Sio sakata la mchezo, hapa tunaongelea karibu dola million 200. Raisi mwenyewe anajikanyagakanyaga anatoa hotuba isiyokuwa na mbele wala nyuma. Anatoa maelezo yanayoonyesha kama vile hana authority ya kuamua ... "Tumemuomba, prof Tibaijuka, atupishe tuteuwe mwingine, na Muhongo nimemuweka kiporo". Hicho kiporo unamwaachia nani. Na kwanini uache kiporo kiendelee kuwa madarakani wakati uchunguzi ukiendelea?. Inatakiwa wakati uchunguzi unaendelea kiporo, Muhongo, awekwe pembeni mpaka uchunguzi ukamilike. Mimi ninachoona hapa ni kwamba Hata prof Muhongo anajua kwamba raisi hathubutu kumgusa, kwa sababu wote wanayajua mengi.
Kama hukuweza kumwelewa Rais kichwa chako sawa na kile cha sugu anayejua kupigana tu basi hili jambo jepesi na ukweli wake uko wazi kabisa hutaki unaacha zile pesa sio mali ya umma ni pesa za iptl mwisho.Hili suala la escrow rais wetu analichukulia kirahisi sana.
unaonekana huna unachojua kwenye hili jambo ushauri wangu kwako ungefanya hii biashara haya mambo ya uchambuzi unatia aibu sana.
Kama hukuweza kumwelewa Rais kichwa chako sawa na kile cha sugu anayejua kupigana tu basi hili jambo jepesi na ukweli wake uko wazi kabisa hutaki unaacha zile pesa sio mali ya umma ni pesa za iptl mwisho.
Katika hotuba ile JK hakuonesha kuwa anachukia rushwa na ufisadi hata kidogo. Alitumia lugha rahisi ya kejeli huku akionesha wazi kuwatetea wezi wale! Hakuweza kutetea fedha za kodi wala za TANESCO bali alikuwa mtetezi mkuu wa Seth Singasinga. Mwigulu Nchemba alikuwa anaeleweka na kuwa na msimamo kaika hili kuliko JK. Halafu hakuna mtu anayeeleza kuwa ESCROW ilisababisha bei ya umeme kupanda na hivyo kuumiza uchumi wa nchi na wananchi kwa ujumla. Pia haikuelezwa kuwa mwisho wa mkataba wa IPTL ulishakaribia kikomo hivyo kuuzia Kaqmpuni nyingine ilikuwa ni mbinu chafu! JK anatabasamu katika mambo yanayoumiza kiasi hicho!Kashfa ya uporaji wa fedha za wananchi kupitia bili za Luku via Tanesco hadi BOT Escrow ac bado inasumbua vichwa wananchi na wahisani.
Wananchi wamepata uelewa wa moja kwa moja kwa lugha nyepesi ya kiswahili kuwa zile fedha za escrow zimetoka mifukoni mwetu kwa kulipia umeme hewa, wa kilanguzi kupitia Tanesco na hatimaye kuhifadhiwa pale BOT zikiitwa escrow monies kwa amri ya mahakama.
Suala hili litakuwa gumu kwa kuwa ukweli uko wazi kwa wananchi na wahisani.
Naunga mkono hoja.Kashfa ya uporaji wa fedha za wananchi kupitia bili za Luku via Tanesco hadi BOT Escrow ac bado inasumbua vichwa wananchi na wahisani.
Wananchi wamepata uelewa wa moja kwa moja kwa lugha nyepesi ya kiswahili kuwa zile fedha za escrow zimetoka mifukoni mwetu kwa kulipia umeme hewa, wa kilanguzi kupitia Tanesco na hatimaye kuhifadhiwa pale BOT zikiitwa escrow monies kwa amri ya mahakama.
Suala hili litakuwa gumu kwa kuwa ukweli uko wazi kwa wananchi na wahisani.
Kama hukuweza kumwelewa Rais kichwa chako sawa na kile cha sugu anayejua kupigana tu basi hili jambo jepesi na ukweli wake uko wazi kabisa hutaki unaacha zile pesa sio mali ya umma ni pesa za iptl mwisho.
Kama hukuweza kumwelewa Rais kichwa chako sawa na kile cha sugu anayejua kupigana tu basi hili jambo jepesi na ukweli wake uko wazi kabisa hutaki unaacha zile pesa sio mali ya umma ni pesa za iptl mwisho.
Naunga mkono hoja.
Suala hili litaigharimu nchi.
Mdau mmoja anasema ni fedha za IPTL !?
Hajiuizi hao IPTL wamezipata wapi.
Kaka unajua kuna watu wanafanya siasa kwenye kila kitu !