Ni muda sasa, sijaona post zake humu jamvini, kama yupo, basi atujuze kama ni mzima, au mwenye taarifa zake pia si vibaya akitufahamisha kama ni buheri wa afya ..
Ni muda sasa, sijaona post zake humu jamvini, kama yupo, basi atujuze kama ni mzima, au mwenye taarifa zake pia si vibaya akitufahamisha kama ni buheri wa afya..
Yawezekana maana nimelowea huku MMU na labda Chit Chat, ndio maana tunapishana. Awali nilidhani kazaliwa upya na kujibatiza kwa jina jipya kama Bebii................................. LOL