FDLR negotiation inevitable

FDLR negotiation inevitable

Kweli? Alafu hiyo 75% ni censor ya mwaka gani we mkabila?Hayo ni mawazo yako nakuambia we jaribu umtume jumali akamobilize Rwanda uonekama ndugu zake hawata mtema na kumripoti kwa wahusika! Alafu kwa bahati nzuriwenye chini ya miaka 20 rwanda ndio wengi na tumewalea wenyewe(sumuless) nawale wenye zile sumu kama za kinajumali tuliwapitisha chuoni(Mutobo-Rwanda) lakinisikatai wanaweza wakawa wamepretend kuelewa siasa mpya au wanazuga hapo siwezikukudanganya kwa sababu waswahili wanasema samaki mkunje angali mbichi ilahaitupi shida sumu zikipanda tunakupa maziwa ndio maana personally nampendaKagame kama nn yani sijui.
Kama nilivyosema waliozidisha miaka 30 ni kama 30% hivi, kwa hiyo humohumo wacha tu assume kuna wenyesumu na wazima na miaka 20-30 ijayowatakuwa washakufa na sumu zao! Ila hujui kinachoniuma, Kagame Healthcare yakeinawaongezea miaka ya kuishi which means tunajiongezea miaka ya kuishi na haowenye hizo sumu bila kujua kwa hiyo ninachoomba mungu Kagame atafute kijanajeshini mwenye discipline kama yake(a good soldier) ambaye anaweza kutoa maziwavizuri kwa hao wenye sumu amvue combat ampe kazi(incase he is tired) mpaka hiyomiaka ikatike alafu ndio tuanze kula raha na mille collines yetu
who is that Jumaali, kwa mwenye kujua tafadhali. wekeni cv yake hapa, huyu mfuasi wa kagame pengine anasema ya kweli.
 
msituni wanakaa kwasababu hawana kwa kwenda, nchi ambayo ni asili yao aliyokalia kagame wanaogopa kwenda kwasababu wakirudi tu watauawa na kutupwa mto Ruweru. they are just desperate

Mjomba we nae mbona unielewi! They are desperate because of the poison they getfrom Jumali, they are simply misinformed fellows my friend! if they are freedfrom the likes of Jumali’s misleading infosand dare to go back home, they will hate Jumali in their whole life ahead.

We see this every daywhen they manage to escape the jungles of DRC and enter new Rwanda some of themfaint in disbelief of what they see in front of their eyes, we unaonatunamuandama jumali unafikiri ni mchezo jamaa ni kama ukoma ndugu zake wanaishi misha ya kinyani huko jungle unafikiri ni mtu huyo

Kwa mabishano na chuki ambazo mnazionesha hapa, naona Amani ya Rwanda iko mbali sana.

acha ujinga wewe yani hicho ndio kipimo chako cha amani? atuharibie alafu tumkenulie? kwa hiyo tumemwacha akawapa sumu zake ndio rwanda itakuwa na amani? kama nilivyosema hv ni facts kwa kwenda mbele mwenye hasira aache forum waende kunyea sumu zake kwingine tusipo pajua
 
Hawa mi nawahurumia sana...huko mbele naona hatari tupu...
Kwa nini awajifunzi kwa wenzao South Africa????

kwa mawazo yangu, naona watu wenye sumu wengi zaidi wapo ndani ya Rwanda, wamejificha, wahutu asilimia 75% wanaugulia mioyoni siku jipu likipasuka utakuja kugunua kuwa wenye sumu wengi sio hao watoto wa msitu wa congo, ni wahutu walio wengi ambao wamewekwa pembeni na serikali ya kagame. vilevile, ujue hata kagame alikuwa kama hao watoto maisha yake miaka 30, na alikuwa na sumu kama za hao watoto laba ndio maana ni mtu wa kukurupuka na mkatili. hivyo kwasababu hata kagame alihesabiwa ana sumu kipindi cha yule rais wenu aliyetunguliwa, basi anaenda sawa tu that means hapo hakuna wa kumcheka mwenzie, wote au niseme wanyarwanda wote mna sumu mioyoni kwasababu uongozi wenu umejaa watu waliokuwa msituni zamani.
 
Kweli? Alafu hiyo 75% ni censor ya mwaka gani we mkabila?Hayo ni mawazo yako nakuambia we jaribu umtume jumali akamobilize Rwanda uonekama ndugu zake hawata mtema na kumripoti kwa wahusika! Alafu kwa bahati nzuriwenye chini ya miaka 20 rwanda ndio wengi na tumewalea wenyewe(sumuless) nawale wenye zile sumu kama za kinajumali tuliwapitisha chuoni(Mutobo-Rwanda) lakinisikatai wanaweza wakawa wamepretend kuelewa siasa mpya au wanazuga hapo siwezikukudanganya kwa sababu waswahili wanasema samaki mkunje angali mbichi ilahaitupi shida sumu zikipanda tunakupa maziwa ndio maana personally nampendaKagame kama nn yani sijui.
Kama nilivyosema waliozidisha miaka 30 ni kama 30% hivi, kwa hiyo humohumo wacha tu assume kuna wenyesumu na wazima na miaka 20-30 ijayowatakuwa washakufa na sumu zao! Ila hujui kinachoniuma, Kagame Healthcare yakeinawaongezea miaka ya kuishi which means tunajiongezea miaka ya kuishi na haowenye hizo sumu bila kujua kwa hiyo ninachoomba mungu Kagame atafute kijanajeshini mwenye discipline kama yake(a good soldier) ambaye anaweza kutoa maziwavizuri kwa hao wenye sumu amvue combat ampe kazi(incase he is tired) mpaka hiyomiaka ikatike alafu ndio tuanze kula raha na mille collines yetu

Ndugu yangu, usiwe unaingia JF wakati unatapika. Unaongea miozo ya sijui watu mliowaua? Kuwa muungwana. Hata Nyerere alikuwa anatoka mwitongo anakuja huko Rwanda kuleta amani. Njoo Tanzania tuongee, hacha kumwaga damu za watu wasio na hatia.
 
Eti pengine? Acha utani bwana unafikiri hao kinaJumalimliwapokea pekeyenu ah wapi nakuambiakipindi hicho namie nilikuwa bado niko Bongo lakini kipindi icho walikuwawanyonge kweli washauaua alafu wanashangaa kuona eti kunawanyarwanda wengine bongo tena hawajifichi wakonjenje bilakujificha tena isitoshe tunaitana watani na wabongo! wenyewe kipindi hichowanatutamani kwelilakini ndio hivyo tenaugenini utaua vp? Mi nakuhakikishia kama unataka kumjua Jumali basi mtafute yulemuhaya wa ILOS(shule ya lugha pale town) akicheki tu kwenye orodha ya wanafunzitu anaweza kukusaidia, leo washajua lugha wameshapata contacts basi tabu tupu,msanii inchief washa mkonect na wafaransa ndio unaona wanaparamia keyboard naPR zao za ukabila, ila msanii namwamini atawala pesa we zikiisha utaonaatakavyowageukamaana sera zao hawezikuwauzia wabongo niliolelewa nao eti waende kuwasaidia vitani, we vuta pumzisiku kidogo ndio utanielewa nilikuwa namaanisha nn

Mkuu, we siyo mzima. utakuwa umelogwa. Au ndo damu za watu muliowaua zinawapanda kichwani?. kafanye kazi nyingine. Wazungu hao hao watawaumiza. Kuwa msikivu. We una shida gani? si una familia yako? au hata mkeo una matatizo naye? unaandika madudu madudu mkuu. Umelogwa?
 
who is that Jumaali, kwa mwenye kujua tafadhali. wekeni cv yake hapa, huyu mfuasi wa kagame pengine anasema ya kweli.

Mkuu, jmali ni mtanzania mwenye uzalendo kamili. Hawa jamaa wanababaika sijui kwanini. yaani wanashangaa kusikia jmali anawaambia ukweli. mimi mwenyewe nimefatilia siasa zao wanyarwanda ni uchafu mtupu. Kagame ni bogus president of rwanda ever ever........LOL
 
Mjomba we nae mbona unielewi! They are desperate because of the poison they getfrom Jumali, they are simply misinformed fellows my friend! if they are freedfrom the likes of Jumali's misleading infosand dare to go back home, they will hate Jumali in their whole life ahead.

We see this every daywhen they manage to escape the jungles of DRC and enter new Rwanda some of themfaint in disbelief of what they see in front of their eyes, we unaonatunamuandama jumali unafikiri ni mchezo jamaa ni kama ukoma ndugu zake wanaishi misha ya kinyani huko jungle unafikiri ni mtu huyo

We ndo unamuandama jmali, mnyarwanda uliyelelewa Tanzania. Hii ni nchi ambayo haina ukabila. sasa umekaa Tanzania alafu unaleta ukabila unategemea nini? basi omba uraia watanzania
 
Sio chuki mjomba jua kutofautisha mambo! Kwetu tushajifunzamengi mwisho wake tukaamua tuchore mstaliukiuvuka basi hatuangalii we ni nani(Mtusi,Mhutu,Mtwa au hata Foreigner kama ProfP.Erlinder aliyejifanya kuja kumtetea yule mama aliye jela) tunakufwatahukohuko nje ya mstari alafu tunakupa kibano na maziwa kwa wingi tukiona umekoleatunakurudisha ndani ya mstali! Jumali usimuone anajificha nyuma ya computeranajua kabisa akipatikana tu baasi anajua dawa yake, sasa nyie mkitakamtuchekeau mtuonee huruma, mtajuawenyewe

Mpum.bavu wewe huna lolote. unaongea na povu mdomoni. Kwanza wewe hiyo nchi ya rwanda yenyewe ni mkimbizi. Wenye nchi wahutu
 
Mkuu, we siyo mzima. utakuwa umelogwa. Au ndo damu za watu muliowaua zinawapanda kichwani?. kafanye kazi nyingine. Wazungu hao hao watawaumiza. Kuwa msikivu. We una shida gani? si una familia yako? au hata mkeo una matatizo naye? unaandika madudu madudu mkuu. Umelogwa?
Haya madudu we unayacheka lakini yanatibu babu
 
hiyo ni ID nyingine ya hawa hawa "ndugu" zangu ndio maana imeanza jana tu lakini 99% ya post zake zinadili na jMali tu!

Ahahahahha mkuu kumbe umemsoma? yaani ni uvundo mtupu. Eti naye labda kagame anamlipa aje JF aongee...... Ngoja tuone pesa anatoa wapi huyo kagame. Na bado hajui rais ajaye Tanzania atakuwaje???
 
Mpum.bavu wewe huna lolote. unaongea na povu mdomoni. Kwanza wewe hiyo nchi ya rwanda yenyewe ni mkimbizi. Wenye nchi wahutu

Mh unaona sumu za Jumali zisha kukolea lakini haitusumbuiile hali ukounaisambazia huko huko uliko yaani ungekuwa kwetu Rwanda lazimaungetibika! Kibano pamoja na maziwa hadi sumu ulizonyweshwa na Jumali zikutoke
Alafu hata usiendembali anza na wamakonde, wajaruo,wahaya, wanyakyusa na wengineo uwaambie hapo sio kwao usikie kibano watakachokupa! Sasa kwetutunakupa kibano na "MAZIWA" kusudi tuakikishe sumu imekutoka
 
Ahahahahha mkuu kumbe umemsoma? yaani ni uvundo mtupu. Eti naye labda kagame anamlipa aje JF aongee...... Ngoja tuone pesa anatoa wapi huyo kagame. Na bado hajui rais ajaye Tanzania atakuwaje???

Mi namtaka Jumali(Joka Kuu) sio wewe maana naona unaongeausivyovijua, Raisi ajaye kwani atakuwa wan chi gani? Si Tanzania sisi sasainatuhusu nini? Kwa ushauri wangu mchagueni Membe kama msanii atakuwahajatimiza ahadi zake basi Membe aziendeleze maana pesa za kina Jumali wanazozaminiwana mfaransa wanazila pamoja. So if you if ask me then Membe is a good optionfor you guys otherwise zitakuwa zimeenda na maji.
Kwa hiyo muombe sana mungu Membe apite mumshughulishe siowanakula pesa za watu kiulaini alafu wanaingia mitini na tena msikubali kabisahiyo itakuwa ni dhuruma kama za yule mwimbaji Rose!
Nasisi huku tunawasubiri kwa hamu kweli na tulisha semahatutaki mazungumzo kwa hiyo atafute njia zingine sio kula pesa zenu nakuwatelekeza
 
Mkuu, jmali ni mtanzania mwenye uzalendo kamili. Hawa jamaa wanababaika sijui kwanini. yaani wanashangaa kusikia jmali anawaambia ukweli. mimi mwenyewe nimefatilia siasa zao wanyarwanda ni uchafu mtupu. Kagame ni bogus president of rwanda ever ever........LOL

Interesting kumbe umetumwa na Jumali au ni mtu mmoja IDtofauti ? hayo tuache nasikia unamfagilia Jumali eti anatuambia ukweli alafuhatutaki kusikia hebu nipe mfano1 wa ukweli wake kama sio zile sumu nnazosema? Alafuyuko wapi mbona simpati ni discharge polepole.
 
nimeangalia kwa makini youtube, jinsi FDLR wanavyoishi msitu wa congo, nimegundua ni watu wengi sana na jeshi lao ni kubwa kuliko hata lile la kagame alipokuwa msituni. to be frank, i have seen children, so many children who are not genocidors at all, aged 0yrs to 15, and substantial group of adults who are soldiers. even if kagame will oppose this aspect, it won't prevail forever, there's one day he may find FDLR in kigali. sijajua wanapata wapi silaha, ila ni wengi sana sana, wanasali wanayo makanisa kabisa, and they are ready for negociation.

the problem they mention is that, those fellows who lay down weapons and return to kigali they are executed by kagame so they are scared of returning to kigali. most of them were born in the forest, there were not born during 1994. nilipoangalia wazee ni wachache sana, wengi wao ni vijana wamevalishwa yeboyebo na makobasi tu masinini, nikajiuliza, ujanja wote wa kagame hana uwezo kuwatandika hawa jamaa. kwa kifupi nimewaonea huruma kwasababu wanaishi maisha magumu sana lakini wako determined na wanaamini kama negociation haitafanya kazi, kuna siku watapigana na kuikomboa kigali toka kwa kagame. ukweli uko palepale.

if kagame was once a rebel and now he's enjoying presidency, there is one day he or his children will be rebels and another group of people will be presidents.

Kagame ni muuaji na anaishi kwa mkopo, muda wowote jamaa watammaliza tu.....Mtu huwezi kuishi kwa kuua ili kuficha ukweli kwani iko siku lazima watu wanajuwa ukweli halisi. Time will tell.
 
Back
Top Bottom