FC Bayern Munich (The Bavarians) | Special Thread

FC Bayern Munich (The Bavarians) | Special Thread

Leo alikuwa shabiki wa Freiburg
Hahahhahaa.
Juzi alisikitika sana baada ya draw ya dk za jioni.

Alikuwa anamulikwa na kamera sana kuoneshwa hali yake ya shauku ya kusherehekea Ubingwa, ila draw ikawa jau sana
 
Hahahhahaa.
Juzi alisikitika sana baada ya draw ya dk za jioni.

Alikuwa anamulikwa na kamera sana kuoneshwa hali yake ya shauku ya kusherehekea Ubingwa, ila draw ikawa jau sana
alaf waliandaa jez za kusherekea ubingwa
 
Screenshot_20250706-015344.png
 
Natamani tim zangu kama Barcelona,liverpool,dortmund tungekuwa na mchezaji kama OLISE Mwamba anajua mpira lakini watu wanamchukulia poa
 
Back
Top Bottom