Nakumbuka 2001 wanamtoa Man Utd robo fainal kwa 3 - 1 (win home and away), nusu fainal Real Madrid anakufa kwa 3 - 1 (win home and away), Giovani Elber akiwa ni moja ya hatari kwenye hizi game lakini timu ya taifa hayumo.
Fainali Valencia anakufa kwa matuta, baada ya hapo upepo ukakata UEFA.
Ile mijamaa ilikuwa hatari sana.