Fc barcelone bingwa wa la liga 2012-2013

Fc barcelone bingwa wa la liga 2012-2013

Babchabi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,745
Reaction score
777
Barcelona ndio mabingwa wa la liga 2012-2013
wakiwa wamebakiska michezo 4 jana baada ya real madrid kutoka droo ya 1-1 dhidi espanyol barcelone imewafanya barca kua ndio mabingwa msimu huu wa 2012-2013 wakiwa na points 84 na michezo 4 kibindoni ilhali real wamebaki na michezo 2 na hata wakishinda hiyo hawatofikia points za barcelone
BARCELONE.PNG
 

Attachments

  • fccb.PNG
    fccb.PNG
    141.4 KB · Views: 62
  • BARCELONE.PNG
    BARCELONE.PNG
    202.9 KB · Views: 53
Real Madrid wamebana mno mwisho wamelegea wenyewe. Barca, Barca, Baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaarca,
 
Poleni sana Barca kwa maumivu na kukamiwa sana mnapocheza na wapinzani wenu hasa LM.pigwa buti hadi huruma!hongereni sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom