Fc Barcelona tunafanyiwa figisu za wazi kabisa

Spain Barca ni timu inayotoka Catalan
Jimbo linalotaka kujitenga..
Wakati Madrid ndo kama timu ya Taifa
Obviously kabisa Madrid wanakuwaga favoured kila mwaka..
Barca wanakuwaga mpira ndo unawasaidia.

Sasa timu imeanza kuchoka unategemea nini?
Madrid atapewa penati hadi apewe ubingwa..

Kama wakati wa Corona ingekuwa Madrid ndo anaongoza ..ligi ingevunjwa wakaipa ubingwa..

Barca mchawi ni Rais wao
Anasajili vituko Kwa pesa nyingi
Ahahha,point swafi
 
Spain Barca ni timu inayotoka Catalan
Jimbo linalotaka kujitenga..
Wakati Madrid ndo kama timu ya Taifa
Obviously kabisa Madrid wanakuwaga favoured kila mwaka..
Barca wanakuwaga mpira ndo unawasaidia.

Sasa timu imeanza kuchoka unategemea nini?
Madrid atapewa penati hadi apewe ubingwa..

Kama wakati wa Corona ingekuwa Madrid ndo anaongoza ..ligi ingevunjwa wakaipa ubingwa..

Barca mchawi ni Rais wao
Anasajili vituko Kwa pesa nyingi

Umeongea point,
 
UEFA Champions League: Chelsea 1-2 Barcelona (22 February 2006)
José Mourinho believed Lionel Messi was the reason why Asier del Horno was sent off in the 37th minute:

How do you say cheating in Catalan? Can Messi be suspended for acting? Barcelona is a cultural city with many great theatres and this boy has learned very well. He's learned play-acting.
 
UEFA Champions League: Inter Milan 3-1 Barcelona (20 April 2010)
Here, José Mourinho ironically took the moral high ground:

I saw the Barcelona players trying to put pressure on the referee.

Why can Barcelona not act like champions and accept they lost on the night to a team that played better?
 
UEFA Champions League: Barcelona 2-1 Chelsea (23 February 2005)
This comment foreshadowed José Mourinho's UEFA conspiracy theory comment:

When I saw Rijkaard entering the referee's dressing room I couldn't believe it. When Didier Drogba was sent off, I wasn't surprised.
 
UEFA Champions League: Real Madrid 0-2 Barcelona (27 April 2011)
José Mourinho lost the plot when he went on this fanatical rant:

Why do the opponents of Barcelona always have a man sent off? Where does this power come from? Maybe it is to give more publicity to UNICEF, maybe because of the power of [Spanish federation president Jose Angel] Villar in UEFA

Why? Why? Why Øvrebø? Why Busacca? Why De Bleeckere? Why Stark? Why? Because every semi-final the same things happen. We are talking about an absolutely fantastic football team, so why do they need that? Why? Why does a team as good as they are need something [extra] that is so obvious that everyone sees it?
 
Nimeweka hizo comments za Mou nilitaka tu kuthibitisha kutoka kwa mleta mada km alimaanisha Barcelona hiyo ama ile ya manzese😀😀😀😀
 
Pamoja na hoja ya kiwango cha kushuka kidogo lakini bado timu imekua iki perform ktk kiwango ridhishi, shida ni hapo tulipoanza kukimbizwa na real Madrid kutufikia ndio hujuma za wazi zimekua zikionekana kabisa ili tu timu ipoteze points na Real Madrid waongoze
Kwa aliyefuatilia michezo yote hii baada ya kuanza tena la liga atakua shahidi
Real madrid katika mechi za karibuni amekua akikamatwa hasa ila kinachotokea anapewa penati! Hiyo imetokea zaidi ya mara moja ktk game tofauti

Barcelona amejitahidi kupambana na kuonyesha kiwango kizuri lakini inafikia pahala timu pinzani inapewa penati isiyo na mashiko.. Kipa Ter stegen anaipangua refa anasema hapana irudiwe!

Messi tumeona anafunga goli linakataliwa kwa Var tech... Bado majuzi Ansu fati katumbukiza goli la nne ilikua ngumu kulikubali mpaka tena wakacheki var... Kwa aibu wakalikubali
Semedo anakimbia na striker ndani ya box mtu anajiangusha! Bila hata kutazama var refa anasema iwekwe penati!

Hakika tunapigwa vita na kuna njama za wazi toka kwa waamuzi kuifanya Real Madrid kuwa mabingwa msimu huu japo Juzi Mwalimu Zinedine zidan amekanusha shutuma hizo
Barcelona fans tusife moyo Bado sisi ni timu bora duniani na tunakwenda kunyanyua kwapa kwa msaads wa mwenyezi mungu.
Hii inaitwa mkuki kwa nguruwe. Kumbukeni mlioyafanya mechi ya UEFA hatua ya last 16 na PSG msimu wa 2016/2017. Usiku ule hata shetani anaweza washitaki mbwa wale wa barca. Tulieni dawa iwaingie. Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Back
Top Bottom