Fc Barcelona tunafanyiwa figisu za wazi kabisa

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Pamoja na hoja ya kiwango cha kushuka kidogo lakini bado timu imekua iki perform ktk kiwango ridhishi, shida ni hapo tulipoanza kukimbizwa na real Madrid kutufikia ndio hujuma za wazi zimekua zikionekana kabisa ili tu timu ipoteze points na Real Madrid waongoze
Kwa aliyefuatilia michezo yote hii baada ya kuanza tena la liga atakua shahidi
Real madrid katika mechi za karibuni amekua akikamatwa hasa ila kinachotokea anapewa penati! Hiyo imetokea zaidi ya mara moja ktk game tofauti

Barcelona amejitahidi kupambana na kuonyesha kiwango kizuri lakini inafikia pahala timu pinzani inapewa penati isiyo na mashiko.. Kipa Ter stegen anaipangua refa anasema hapana irudiwe!

Messi tumeona anafunga goli linakataliwa kwa Var tech... Bado majuzi Ansu fati katumbukiza goli la nne ilikua ngumu kulikubali mpaka tena wakacheki var... Kwa aibu wakalikubali
Semedo anakimbia na striker ndani ya box mtu anajiangusha! Bila hata kutazama var refa anasema iwekwe penati!

Hakika tunapigwa vita na kuna njama za wazi toka kwa waamuzi kuifanya Real Madrid kuwa mabingwa msimu huu japo Juzi Mwalimu Zinedine zidan amekanusha shutuma hizo
Barcelona fans tusife moyo Bado sisi ni timu bora duniani na tunakwenda kunyanyua kwapa kwa msaads wa mwenyezi mungu.
 
Kwa aliyefuatilia michezo yote hii baada ya kuanza tena la liga stakua shahidi

Messi tumeona anafunga goli linakstaliwa kwa Var tech... Bado majuzi Ansu fati katumbukiza goli la nne ilikua ngumu kulikubali mpaka tena wakacheki var... Kwa aibu wakslikubali
Semedo anakimbia na striker ndani ya box mtu anajiangusha! Bila hata kutazsma var refa anasema iwekwe penati!

Tulieni dawa iwaingie.
Nyie ndio mabingwa wa kubebwa.
Mna vibabu lukuki kuanzia Messi, Suarez, Bosquet, Pique, garasa Alba na hao wote ndio jua la jioni.
Mtasema yote hapa.
 
Pamoja na hoja ya kiwango cha kushuka kidogo lakini bado timu imekua iki perform ktk kiwango ridhishi, shida ni hapo tulipoanza kukimbizwa na real Madrid kutufikia ndio hujuma za wazi zimekua zikionekana kabisa ili tu timu ipoteze points na Real Madrid waongoze
Kwa aliyefuatilia michezo yote hii baada ya kuanza tena la liga stakua shahidi
Real madrid katika mechi za karibuni amekua akikamatwa hasa ila kinachotokea anapewa penati! Hiyo imetokea zaidi ya mara moja ktk game tofauti
Barcelona amejitahidi kupambana na kuonyesha kiwango kizuri lakini inafikia pahala timu pinzani inapewa penati isiyo na mashiko.. Kipa Ter stegen anaipangua refa anasema hapana irudiwe!
Messi tumeona anafunga goli linakstaliwa kwa Var tech... Bado majuzi Ansu fati katumbukiza goli la nne ilikua ngumu kulikubali mpaka tena wakacheki var... Kwa aibu wakslikubali
Semedo anakimbia na striker ndani ya box mtu anajiangusha! Bila hata kutazsma var refa anasema iwekwe penati!
Hakika tunapigwa vita na kuna njama za wazi toka kwa waamuzi kuifanya Real Madrid kuwa mabingwa msimu huu japo Juzi Mwalimu Zinedine zidan amekanusha shutuma hizo
Barcelona fans tusife moyo Bado sisi ni timu bora duniani na tunakwenda kunyanyua kwapa kwa msaads wa mwenyezi mungu.
Huenda marefa wanaunga mkono juhudi za Messi aliyesema ni vigumu kwa kocha wa Barcelona kuchukua kombe lolote kutokana na mbinu anazotumia.
 
Pamoja na hoja ya kiwango cha kushuka kidogo lakini bado timu imekua iki perform ktk kiwango ridhishi, shida ni hapo tulipoanza kukimbizwa na real Madrid kutufikia ndio hujuma za wazi zimekua zikionekana kabisa ili tu timu ipoteze points na Real Madrid waongoze
Kwa aliyefuatilia michezo yote hii baada ya kuanza tena la liga atakua shahidi
Real madrid katika mechi za karibuni amekua akikamatwa hasa ila kinachotokea anapewa penati! Hiyo imetokea zaidi ya mara moja ktk game tofauti
Barcelona amejitahidi kupambana na kuonyesha kiwango kizuri lakini inafikia pahala timu pinzani inapewa penati isiyo na mashiko.. Kipa Ter stegen anaipangua refa anasema hapana irudiwe!
Messi tumeona anafunga goli linakataliwa kwa Var tech... Bado majuzi Ansu fati katumbukiza goli la nne ilikua ngumu kulikubali mpaka tena wakacheki var... Kwa aibu wakalikubali
Semedo anakimbia na striker ndani ya box mtu anajiangusha! Bila hata kutazama var refa anasema iwekwe penati!
Hakika tunapigwa vita na kuna njama za wazi toka kwa waamuzi kuifanya Real Madrid kuwa mabingwa msimu huu japo Juzi Mwalimu Zinedine zidan amekanusha shutuma hizo
Barcelona fans tusife moyo Bado sisi ni timu bora duniani na tunakwenda kunyanyua kwapa kwa msaads wa mwenyezi mungu.
Mkuu hiyo timu imeshapitwa na wakti. Messi siku zake zinahesabika. Hao wengine wote ni maveteran. Kule nyuma ukuta hakuna kabisa. Anaeiweka timu mjini ni Ter Stengen na bila yeye ingekuwa aibu tupu.
Inabidi mumrudishe Pep aje kuifumua timu na kuijenga upya
 
Katika timu inaongozwa kubebwa ni Barcelona wakifuatiwa na Man United na Sparta ya Mwananyamala au Swazi Inter ya Vegas Mwananyamala.

Penati ya Ter Stegen ilirudiwa kwakua mguu ulikua wapi? Na siku hizi sheria inasema mguu unatakiwa uwe wapi wakati wa penati?
Hapa utaleta mfano wa penati ambayo haikurudiwa ingawa miguu ya kipa haikua kwenye mstari, ila hiyo inahalalisha Ter Stegen kuvunja sheria? Au ndo mbebwe kama kawaida yenu?

Anyway, nafikiri Barcelona inatakiwa ajiulize kwanini chipukizi wa Madrid wanaperform vizuri kuliko wa kwake maana kikosi cha sasa hivi ndiyo kinaishia na hawana future.
 
Pamoja na hoja ya kiwango cha kushuka kidogo lakini bado timu imekua iki perform ktk kiwango ridhishi, shida ni hapo tulipoanza kukimbizwa na real Madrid kutufikia ndio hujuma za wazi zimekua zikionekana kabisa ili tu timu ipoteze points na Real Madrid waongoze
Kwa aliyefuatilia michezo yote hii baada ya kuanza tena la liga atakua shahidi
Real madrid katika mechi za karibuni amekua akikamatwa hasa ila kinachotokea anapewa penati! Hiyo imetokea zaidi ya mara moja ktk game tofauti

Barcelona amejitahidi kupambana na kuonyesha kiwango kizuri lakini inafikia pahala timu pinzani inapewa penati isiyo na mashiko.. Kipa Ter stegen anaipangua refa anasema hapana irudiwe!

Messi tumeona anafunga goli linakataliwa kwa Var tech... Bado majuzi Ansu fati katumbukiza goli la nne ilikua ngumu kulikubali mpaka tena wakacheki var... Kwa aibu wakalikubali
Semedo anakimbia na striker ndani ya box mtu anajiangusha! Bila hata kutazama var refa anasema iwekwe penati!

Hakika tunapigwa vita na kuna njama za wazi toka kwa waamuzi kuifanya Real Madrid kuwa mabingwa msimu huu japo Juzi Mwalimu Zinedine zidan amekanusha shutuma hizo
Barcelona fans tusife moyo Bado sisi ni timu bora duniani na tunakwenda kunyanyua kwapa kwa msaads wa mwenyezi mungu.
Hahaaaaaa
 
Spain Barca ni timu inayotoka Catalan
Jimbo linalotaka kujitenga..
Wakati Madrid ndo kama timu ya Taifa
Obviously kabisa Madrid wanakuwaga favoured kila mwaka..
Barca wanakuwaga mpira ndo unawasaidia.

Sasa timu imeanza kuchoka unategemea nini?
Madrid atapewa penati hadi apewe ubingwa..

Kama wakati wa Corona ingekuwa Madrid ndo anaongoza ..ligi ingevunjwa wakaipa ubingwa..

Barca mchawi ni Rais wao
Anasajili vituko Kwa pesa nyingi
 
Katika timu inaongozwa kubebwa ni Barcelona wakifuatiwa na Man United na Sparta ya Mwananyamala au Swazi Inter ya Vegas Mwananyamala.

Penati ya Ter Stegen ilirudiwa kwakua mguu ulikua wapi? Na siku hizi sheria inasema mguu unatakiwa uwe wapi wakati wa penati?
Hapa utaleta mfano wa penati ambayo haikurudiwa ingawa miguu ya kipa haikua kwenye mstari, ila hiyo inahalalisha Ter Stegen kuvunja sheria? Au ndo mbebwe kama kawaida yenu?

Anyway, nafikiri Barcelona inatakiwa ajiulize kwanini chipukizi wa Madrid wanaperform vizuri kuliko wa kwake maana kikosi cha sasa hivi ndiyo kinaishia na hawana future.
Tuna Puig, Ansu hao ni makinda wabiiichi na ni Fire kweli kweli
 
Back
Top Bottom