Fb wajinga wengi hadi kero

Kibishi

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
966
1,000
-Ukiwaambia andika neno fulani halafu uone maajabu yatakayotokea, mijitu mingi zaidi ya 100 bila hata kufikiria, ina-comment, hiyo ni mijinga.
-Ukiwaambia weka namba yako nikuunganishe kwenye group la whatsapp, bila hata kumfikiria aliyepost, mijitu zaidi ya 100 ina-comment, hiyo ni mijinga.
Ongezea na wewe ujinga wa kijinga unaouona Fb.
 

pistmshai

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
1,315
2,000
hapo kwenye magroup ya whatsapp hapo ndio huwa nacheka sana..
Group linabeba watu 256,
mtu anajijua kabisa jinsia yake ni ya kiume, amekuta comments 800+,
na yeye anaongezea comment yake ili angizwe kwenye group la whatsapp "MAHABA NIUE"
 

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
7,709
2,000
HABARI ZA FB HAZITUHUSU JAPO NA HUMU WAJINGA WAPO. PELEKA HUKOHUKO MMALIZANE NAO
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom