Duh hiyo kali...Malebo jeuri saana na ngoma zote alizoimbiwa na jamaa yake aache ujambazi lakini bado alivunja na kuiba nyumbani kwa Munishi pale Nairobi. Ahahahaha!
Binadamu sio wa mchezo mchezo!
Ni vile tu hujawahi pata historia kamili ya huyu bwana.Kama Munisi alikuwa Jambazi basi majambazi wa zamani walikuwa mdebwedo.
Ahahaha! Best friend siku zote ndo huwa wanageuka kuwa maadui wakubwa. Sijui kama wamepatana kwa sasa na sijui kama malebo ameokoka tayari kama ilivyokuwa mission ya Munishi!? Sijui!Duh hiyo kali...
kamwibia swahiba wake??? Inawezekana urafiki wake ulikuwa si wa kimchezochezo kama ule wa Jakaya na Edward...
Historia si aliitoa yeye mwenyewe,Kama alikuwa jambazi wa ukweli angejulikana kama wababe wa kitambo,yeye kilichompa umaarufu ni malebo na kuwa ant-ccm.Ni vile tu hujawahi pata historia kamili ya huyu bwana.
Ahahaha! Best friend siku zote ndo huwa wanageuka kuwa maadui wakubwa. Sijui kama wamepatana kwa sasa na sijui kama malebo ameokoka tayari kama ilivyokuwa mission ya Munishi!? Sijui!
Na ilisemekana malebo alikuwa anamind maana Munishi alimtumia kutenegeneza pesa na hakupewa hata mia maana kuanzia jina la wimbo hadi album iliitwa Malebo. Na iliuza saana kuanzia Tanzania hadi Kenya.
No mkuu kwa sasa Malebo kaokoka na tayari munishi alishatoa ngoma inaitwa Malebo aokoka