Fatuma Karume kimya



Hao akina Masha, Karume na Immmmma ndo waliokuwa wana set up Tundu Lisu sasa yamemfika yaliyomfika wamejificha na guilty conscience inawamaliza!
 
Bila shaka dingi yake kamtuliza tangu aliposema kuna mambo kaongea na Babake ila hatayasema nikaona mzee itakuwa kamwambia atulie atuachie wenyewe tupambane na hali zetu
 
Labda ameenda lakini hataki kutangaza, nawaza tuu hizi akili za usiku jamani.
 
Labda ameenda lakini hataki kutangaza, nawaza tuu hizi akili za usiku jamani.
Kila mmoja aliekwenda baada ya dakika tu tulipata taarifa haswa kwa watu wa kiki kama yeye si rahisi kimya kimya!
 
Habari waungwana?
I hope mko poa na mnaendelea na uvumilivu kwenye nchi yetu hii yenye raia wavumilivu na waoga.

To the heading above:

Fatma Karume ni mmoja wa wanasheria waliosimama kidete kutetea haki za binadamu na utawala bora licha ya kutokea kwenye familia ya kiongozi wa kwanza nchini Zanzibar .

Mara nyingi amekua akipayuka sana pale ambapo haki za wanyonge na utawala wa sheria unapokiukwa.
Lakini pia ni wakili anayetetea wanyonge kama afanyavyo Tundu Lissu (Get well soon) na Peter Kibata.

Huyu mwana mama ni miongoni mwa wamiliki wa IMMA Advocates ambayo ni kampuni ya mawakili.

Siku chache zilizopita ofisi yao ili lipuliwa na watu wasiofahamika na kuungua kwa nyaraka nyingi.
Amekua mshirika mkubwa wa Tundu Lissu kwenye kesi mahakamani.

Tangu apatwe na mkasa huu hajawahi tena kuongea hadharani na wala hajasikika kuongelea swala la mshirika wake Lissu.

Je; kulipuliwa ofisi zake ndio sababu hasa ya kukaa kumya??
Ni kwamba amerudishwa nyuma kwente hii vita ya utawala wa sheria?
Au anapatwa na vitisho?
 
naomba mods mu edit heading
Nimemaanisha "Kuna nini nyuma ya kimya chako?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…