Mabomu ofisini kwao na maneno mengine na matukio yaliyotamalaki ni salamu tosha.
Nauliza tu,mabomu kwenye ofisi za wanasheria,risasi kwa Lissu,maiti za viroba kutamalaki,Ben Saanane,kuuawa kinyama kwa kamanda Mawazo, bunduki kwa Nape etc sio UGAIDI?!!
Ama ugaidi ni masheikh tu waliosekwa korokoroni wale wa UAMSHO?!!!
punguza jazba nafsi yako inajua wote waliokwenda walijitangaza orodha ipo!Acha ujinga wewe,kwani kila MTU anayeenda lazima atokee ktk vyombo vya habari?Rose,Mr.and Mrs.Masesa ambao hadi hivi sasa wapo huko Nairobi ulishawahi kuwaona ktk vyombo vya habari?Upumbavu wa misukule ya Lumumba umepitiliza,je wewe ulienda kumuona? Jambo lisilokuhusu liache kama lilivyo usije ukanunuliwa bia bureee!
kama kuulizia mtu ni uchochezi kali ya mwaka!We jamaa whatever person you are working for propaganda zako zimezidi uzalendo. Ur destroying ur own country for no reason. Unapenda kumwagilia petrol kwenye moto. Kama tunaamini Mungu Yupo hubiri amani. Unatengeneza notion mbaya sana watu wenye akili wakiunganisha unachoongea picha mbaya sana yatokea. Kizuri bado tunapenda tuendelee na Upendo na amani . please whatever you have in your head evil erase.
Wewe hujuwi hii familia ya huyu ndugu wala jamaa zake wote.Hebu nikueleze jambo moja,Tundulisu mwezi huu ilibidi awe Songea ktk Arusi ya mjomba yake,hivyo basi ndugu nane wa Songea walienda Nairobi na wengine wanarudi kesho kwaajili ya Arusi.Je uliwaona ktk vyombo vya habari?punguza jazba nafsi yako inajua wote waliokwenda walijitangaza orodha ipo!
Una maanisha issues za Lissu ,saanane,mawazo,kubenea,kibanda,mabomu ofisi ya mawakili,rushwa ya madiwani ,nape na mengineyo yafananayo no minyosho ya jamaa?
Kuna wakati tutakuhitaji lwa ushahidi!
May be hakupata haki yake usikuBinti vipi, asubuhi yote hii badala ya kumuandalia mumeo unakimbilia jf, kitulize
Yupo,ila wazazi wake wamemkalisha chini na kumwambia bado wanamhitaji na wanampenda sana kuliko anavyojipenda yeye.Mpaka leo hii kipindi ambacho lissu yupo hospital,mwanasheria wake ambae alijitolea mstari wa mbele katika kumtetea kwenye kesi zake hatujamsikia kutoa kauli yeyote na hata hospital jijini nairobi hajakanyaga,tunauliza tu nini kimemsibu mwanasheria huyu msomi nchini mwenye msimamo usioyumba katika kusimamia lile analoliamini katika vifungu vya sheria au shughuli zimembana mbona kimya!
Tujuzane alipo
Dah.... Si mjinga.... Kuna jambo kaling'amua...amejitambua.......nimesikia tu[emoji87]Mpaka leo hii kipindi ambacho lissu yupo hospital,mwanasheria wake ambae alijitolea mstari wa mbele katika kumtetea kwenye kesi zake hatujamsikia kutoa kauli yeyote na hata hospital jijini nairobi hajakanyaga,tunauliza tu nini kimemsibu mwanasheria huyu msomi nchini mwenye msimamo usioyumba katika kusimamia lile analoliamini katika vifungu vya sheria au shughuli zimembana mbona kimya!
Tujuzane alipo
Ukiulizwa wamenyoshwa kwa Fatuma imekaejekama kuulizia mtu ni uchochezi kali ya mwaka!
lowassa,sumaye,mbowe,msigwa,duni hukuwaona au!Wewe hujuwi hii familia ya huyu ndugu wala jamaa zake wote.Hebu nikueleze jambo moja,Tundulisu mwezi huu ilibidi awe Songea ktk Arusi ya mjomba yake,hivyo basi ndugu nane wa Songea walienda Nairobi na wengine wanarudi kesho kwaajili ya Arusi.Je uliwaona ktk vyombo vya habari?
What about him?Usisahau issue ya Chacha Wangwe
Mpaka leo hii kipindi ambacho lissu yupo hospital,mwanasheria wake ambae alijitolea mstari wa mbele katika kumtetea kwenye kesi zake hatujamsikia kutoa kauli yeyote na hata hospital jijini nairobi hajakanyaga,tunauliza tu nini kimemsibu mwanasheria huyu msomi nchini mwenye msimamo usioyumba katika kusimamia lile analoliamini katika vifungu vya sheria au shughuli zimembana mbona kimya!
Tujuzane alipo
What about him?
Kamnyoosha nani ye mwenyewe ukimtajia chadema anapandwa na kifafaHili ndio kubwa mlilobaki nalo baada ya jamaa kuwanyoosha!
Kwanini mkiulizwaga maswali ya msingi mnapovuka kiasi hiki?? unatuonesha jinsi ulivyovurugwa kisaikolojiatuliza shanga wewe kahaba wa cha chama cha manunuzi inakuhusu nini parata wewe
Mpaka leo hii kipindi ambacho lissu yupo hospital,mwanasheria wake ambae alijitolea mstari wa mbele katika kumtetea kwenye kesi zake hatujamsikia kutoa kauli yeyote na hata hospital jijini nairobi hajakanyaga,tunauliza tu nini kimemsibu mwanasheria huyu msomi nchini mwenye msimamo usioyumba katika kusimamia lile analoliamini katika vifungu vya sheria au shughuli zimembana mbona kimya!
Tujuzane alipo