kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Yote uliyaandika ndio matukio ya kwanza hapa duniani!Mabomu ofisini kwao na maneno mengine na matukio yaliyotamalaki ni salamu tosha.
Nauliza tu,mabomu kwenye ofisi za wanasheria,risasi kwa Lissu,maiti za viroba kutamalaki,Ben Saanane,kuuawa kinyama kwa kamanda Mawazo, bunduki kwa Nape etc sio UGAIDI?!!
Ama ugaidi ni masheikh tu waliosekwa korokoroni wale wa UAMSHO?!!!
Ina maana alitaka kuingia kwenye siasa kama bosi wake!Baada ya kudhalilishwa na polisi nje ya mahakama ameamua kuwa mpenzi mtazamaji
Yeye ni mwanasheria na ule unyanyasaji uliofanywa na polisi hadharani unahusiana vipi na siasa? Au kwakuwa si mwana CCM kindakindaki?Ina maana alitaka kuingia kwenye siasa kama bosi wake!
mkuu mpaka hivi sasa mimi sijui anamiliki kadi ya chama gani ila nilijua na yeye ni gwanda!Yeye ni mwanasheria na ule unyanyasaji uliofanywa na polisi hadharani unahusiana vipi na siasa? Au kwakuwa si mwana CCM kindakindaki?
Una maanisha issues za Lissu ,saanane,mawazo,kubenea,kibanda,mabomu ofisi ya mawakili,rushwa ya madiwani ,nape na mengineyo yafananayo no minyosho ya jamaa?Hili ndio kubwa mlilobaki nalo baada ya jamaa kuwanyoosha!
Mbna unalia....tatizo una hasira sanaHoja ya kijinga, kila anaeenda ni lazima atangazwe? Mara nyingi wanaotangazwa kwamba wameenda ni wanasiasa kwa kuwa wanataka attention ya wananchi. Umewahi kujiuliza mbona hatujaambiwa mkwe wake kwenda kumwona? Kitabala ameenda? TLS ni wawakilishi wapi umewaona? Unaweza kuwa umepost hoja ya kijinga na kama hoja ina mashiko basi umeacha maeneo ya mhimu ambayo yangeweza kushibisha hoja yako
Nahisi yuko Cuf na mjomba wake Mansour Himidmkuu mpaka hivi sasa mimi sijui anamiliki kadi ya chama gani ila nilijua na yeye ni gwanda!
Sasa mbona una majibu ya maswali yako ? wakati mwingine tulia andika kwa mantikimkuu mpaka hivi sasa mimi sijui anamiliki kadi ya chama gani ila nilijua na yeye ni gwanda!
We jamaa whatever person you are working for propaganda zako zimezidi uzalendo. Ur destroying ur own country for no reason. Unapenda kumwagilia petrol kwenye moto. Kama tunaamini Mungu Yupo hubiri amani. Unatengeneza notion mbaya sana watu wenye akili wakiunganisha unachoongea picha mbaya sana yatokea. Kizuri bado tunapenda tuendelee na Upendo na amani . please whatever you have in your head evil erase.Mpaka leo hii kipindi ambacho lissu yupo hospital,mwanasheria wake ambae alijitolea mstari wa mbele katika kumtetea kwenye kesi zake hatujamsikia kutoa kauli yeyote na hata hospital jijini nairobi hajakanyaga,tunauliza tu nini kimemsibu mwanasheria huyu msomi nchini mwenye msimamo usioyumba katika kusimamia lile analoliamini katika vifungu vya sheria au shughuli zimembana mbona kimya!
Tujuzane alipo