Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,125
Katika vitu ambavyo sitakaa nifanye katika maisha yangu ni kusema kitu hiki leo tena dunia nzima ikinisikiliza halafu kesho kufanya tofauti kabisa na maneno yangu ya jana. To me this is so embarassing, kweli hata watoto wangu watanishangaa sana. iweje majority ya wanasiasa wanaishi kwa uongo tena uongo mkubwa sana ina maana they have no one from their family to tell them this is not right ama kila mtu huku Tz anaona uongo ni sawa?
hata CHADEMA ni chama cha wote aliyekuambia ni cha Slaa nani! hata wewe unakalibishwa!ccm ni chama cha kila mtu hata slaa ni ccm anasubiri muda wa kurudi tuu!
Kwa nini wamerudishia kadi Kawe? mimi nigedhani ingekuwa vyema huyu mama angefanya hivyo Pemba! Au ndiyo anahamia kwa machogo?
Amandla.....
Mkuu Acid !,
Simtetei Mama Maghimbi,Lakini Mimi kama walivyo wengi hapa nimeshangazwa sana na Mama huyu kuondoka CUF na kurudi CCM.Kati ya Viongozi wa vyama vya Upinzani niliokuwa nawaamini kutokana na michango yao Bungeni na kwenye Majimbo yao ni pamoja na Mwanamama huyu ambaye kwa Taaluma ni mwanasheria.
Mama Fatma Mussa Maghimbi (64) alikuwa ni Mwanzilishi wa Chama cha CUF,na ana uhusiano wa karibu na Katibu Mkuu wa Chama hicho Seif Sharif Hamad.Mama huyo ambaye ameolewa Bara,na Mmoja wa Waanzilishi wa Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro Mzee Mussa Y.Maghimbi aliingia CUF mwaka 1992 na amekuwa Mbunge wa Chake chake (Mkoa wa Pemba Kusini) toka mwaka 1995.Kabla ya hapo Mama huyo alikuwa mfanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam toka mwaka 1971.
Pamoja na mambo mengine Mama Maghimbi amekuwa mshiriki wa moja kwa moja wa siasa za Pemba na haswa CUF pamoja na kwamba muda wake mwingi anautumia Dar-es-salaam anakoishi na familia yake,yeye pamoja na Prof.Haroub Othman (RIP) na Mzee Hassan Said ni waanzilishi wa Zanzibar Legal Services Centre (ZLSC),Taasisi inayotoa ushauri na huduma za kisheria bure kwa watu wasio na uwezo,katika vipindi tofauti Mama Maghimbi amekuwa kiongozi wa Upinzani Bungeni na pia amekuwa Waziri Kivuli wa Mambo ya Katiba na Sheria.
katika kura za Maoni za CUF zilizofanyika mwezi Mei Mama Maghimbi pamoja na Wabunge wengine 11 walishindwa katika kura za maoni.Inawezekana kuwa Mama Maghimbi kahama CUF kwa sababu za kutofautiana na sura mpya za sasa zilizopo CUF,ambako kumejaa vijana wengi wenye damu ya mabadiliko ya haraka. Mama Maghimbi amesoma sheria Chuo Kikuu cha D'salaam mwaka 1989 na baadaye kusoma shahada ya pili ya sheria Warwick, England mwaka 1994.Mama Maghimbi ana watoto 3.
Mama Maghimbi ana mengi ya kutufundisha sisi vijana tunaokubali kubebwa kama vipochi bila ya kudadisi mambo....Amekuwa disappointed na CUF kwa muda mrefu sana na zaidi wale wanaojidai kuwa ndio wenye chama walikuwa wakimtenga tangia wamuondoe katika uongozi wa kambi ya upinzani bungeni....
mwenda tezi na omo hurejea ngamani
wale wote walioapa na kuahidi watakilinda mpaka kufa hawawezi kihama
hata slaa ni wetu is A matter of time
Mkuu,nafikiri mvumilivu hula mbivu! Nina ogopa sana jinsi hivi vyama vya upinzani vilivyojengwa jengwa. Kama alisimamia haki, alitakiwa asimame hivyo mpaka mwisho. Tukumbuke historia haziandikwi na watu wanaobadilika kutokana na kuvuma kwa upepo, na Mandela ni shahidi mkubwa wa hilo.
Mi naona amerejea kule alikokuwa siku zote, Lol
Mkuu Acid !,
Simtetei Mama Maghimbi,Lakini Mimi kama walivyo wengi hapa nimeshangazwa sana na Mama huyu kuondoka CUF na kurudi CCM.Kati ya Viongozi wa vyama vya Upinzani niliokuwa nawaamini kutokana na michango yao Bungeni na kwenye Majimbo yao ni pamoja na Mwanamama huyu ambaye kwa Taaluma ni mwanasheria.
Mama Fatma Mussa Maghimbi (64) alikuwa ni Mwanzilishi wa Chama cha CUF,na ana uhusiano wa karibu na Katibu Mkuu wa Chama hicho Seif Sharif Hamad.Mama huyo ambaye ameolewa Bara,na Mmoja wa Waanzilishi wa Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro Mzee Mussa Y.Maghimbi aliingia CUF mwaka 1992 na amekuwa Mbunge wa Chake chake (Mkoa wa Pemba Kusini) toka mwaka 1995.Kabla ya hapo Mama huyo alikuwa mfanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam toka mwaka 1971.
Pamoja na mambo mengine Mama Maghimbi amekuwa mshiriki wa moja kwa moja wa siasa za Pemba na haswa CUF pamoja na kwamba muda wake mwingi anautumia Dar-es-salaam anakoishi na familia yake,yeye pamoja na Prof.Haroub Othman (RIP) na Mzee Hassan Said ni waanzilishi wa Zanzibar Legal Services Centre (ZLSC),Taasisi inayotoa ushauri na huduma za kisheria bure kwa watu wasio na uwezo,katika vipindi tofauti Mama Maghimbi amekuwa kiongozi wa Upinzani Bungeni na pia amekuwa Waziri Kivuli wa Mambo ya Katiba na Sheria.
katika kura za Maoni za CUF zilizofanyika mwezi Mei Mama Maghimbi pamoja na Wabunge wengine 11 walishindwa katika kura za maoni.Inawezekana kuwa Mama Maghimbi kahama CUF kwa sababu za kutofautiana na sura mpya za sasa zilizopo CUF,ambako kumejaa vijana wengi wenye damu ya mabadiliko ya haraka.
Mama Maghimbi amesoma sheria Chuo Kikuu cha D'salaam mwaka 1989 na baadaye kusoma shahada ya pili ya sheria Warwick, England mwaka 1994.Mama Maghimbi ana watoto 3.
,,,,,,,,,,,,,,Binafsi nitoe angalizo kwa CUF na CHADEMA na hasa CHADEMA kwa maana naona CUF hasa kwa upande wa visiwani wameanza kujirekebisha tena nitoe pongezi za dhati kwa Maalim Seif Sharif Hamad kwa kuona mbali ambapo wengine hawajapaona na bila shaka Mungu atambariki na kumuongoza katika azma yake njema ya kusaini makubaliano ya mwafaka. CHADEMA niwaonye tu kuwa kama kweli wanataka kuwa chama kizuri cha upinzani wajaribu kuacha pupa, watulie chini , waache kulumbanalumbana , wakubali kukosolewa wawe na moyo na bidii ya kujifunza na mwishowe wakatae ushabiki na......................Nova Kambota Is Always A gentle Man Feel Proud To Visit His Site, call 0717-709618 or 0783-610926,email;novakamota@gmail.com