Fatma Karume na Membe Hamuitendei Haki Jamii

MBELE ya Sheria mambo mengine Huwa ni magumu sana kuyaprove japokuwa yote yaliyokuwa yakisemwa na Msiba juu ya wote aliokuwa akiwatuhumu Yalikuwa na ukweli Kwa zaidi ya 90%.
 
unamsagia kunguni!

ila jamaa alizidisha kipimo,hivi alijikuta ni nani,mtoto wa Rais,Mkuu wa majeshi ama alijiona nani?.
kuna kipindi nikahisi labda ni afisa kipenyo.
 
Reactions: Tui
Ni sahihi shog@ musiba ashghulikiwe vikali otherwise 'vigilantes' tuchukue sheria mkononi tukamfanyizie
 
Awamu ya tano, kwa wote wenye akili ilikuwa shule tosha. Mafunzo yanaweza kufafanuliwa hata katika vitabu vitano, vyenye vicha vya habari mbalimbali:

1) Neno la manabii latimia, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.

2) Muda ni mwalimu mzuri, waliodanganya wakiri hadharani, 'madai dhidi ya Acacia hayakuwa ya kweli, ilikuwa mbinu ya kuwalazimisha Barrick waje mezani'

3) Njia ya mwongo ni fupi, Pesa tulipkuwa tunajengea miradi ya kimkakati ilikuwa ya mkopo, na siyo ya makusanyo yetu.
M
4) Dunia ni kijiji, usiposhirikiana na wenzako, utakuwa sawa na wanayama mwitu waishio msituni. Msemo wa JK wa ukiraka kula lazima na wewe ukubali kuliwa kiasi, "mahusiano mazuri kati ya Tanzania na Kenya yamesababisha mauzo ya Tanzania kuongezeka kwa kiwango cha kuzidi mauzo ya Kenya nchini Tanzania.

5) Kauli ya Rais wa awamu ya tano ya ZAENI, mimi nitawasomesha, yafanyiwa kazi na watanzania walio wengi. Sasa Tanzania ni kati ya nchi 5 Duniani ambazo wananchi wake wanazaliana kwa kasi kuliko nchi zote Duniani.
 
Musiba aitishe press conference atubu na kuwaomba wahanga wake wote msamaha.
Pia aseme nani alikuwa anamfadhili.
 
Musiba aitishe press conference atubu na kuwaomba wahanga wake wote msamaha.
Pia aseme nani alikuwa anamfadhili.
Hana ujasiri wa kuonekana hadharani tena amepauka na kuchoka kama choo cha magunia vile.
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana,hakika mjane umebaki mkiwa
 
Angalia kiumbe huyu! Ndio maana nasema kumuacha Musiba bila hatua kuchukuliwa ilihali ni hukumu halali ya mahakama ni makosa.
Watu wenye akili kama hizi wangejifunza.
Fatma na mzee Membe mnatuangusha, kazieni hukumu kieleweke
 
Mchungaji Msigwa aliomba radhi akasamehewa.Huyu baradhuli hajaomba radhi!
Na ni kuwa mchungaji Msigwa makosa yake yalikuwa kutoa taarifa potofu sio kama ya Msigwa.
Msigwa alitukana matusi mazito, alimfedhehesha kijinsia Fatma na kumvunjia utu wake na mambo kama hayo.
Musiba atekeleze hukumu au akate rufaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…