Fatma Karume; Kutoka mbobezi hadi mbea wa taifa?

Kama kama Fatuma anatumika na UKAWA.. Ana tofauti gani na wewe unayetumika na CCM?
Siyo ccm ya Julius kambarage nyerere ,yenye mashiko ya utu,usawa,haki,kujali wanyonge kujali rasilima za umma,utawala bora ,utawalawasheria na si jii ccm ambayoimepotea njia isiyo na dira wa itikadi imebakiza watu wakujioendekeza na kupongeza huku umma ukishangaa nakutindkiwa na maisha mabovu haijawahi kutokea
 
Maneno meengi.. Umeandika pumba tu, jiulize Fatma ana shida gani!! Angemua kujipendekeza kama wewe hata wizara angekabidhiwa, Babu baba wa taifa, baba rais mstaafu.. Wewe kajamba nani unasaka buku saba. Lofa kabisa.
Namfahamu bibi yake,kipato kipo mojawapo wa kaka zake Fatuma wanakuka posho ya bb na jyumba bure na usafiri bure njoo Hugo kinondoni ulizia amani karume utapata ushahidi .Fatuma hana njaa sema kawa mjasiri kujipambanua bila woga kujisifa maujinga ya kupongeza; bali kukosoa pilipokaa vibaya
 
Hivi sasa ni dhahiri kuwa baada ya anguko la Mange Kimambe ambaye hana hoja tena, Tanzania imepata majaribu mengine katika kuelekea safari yake ya mabadiliko; majaribu ambayo hata hivyo ni lazima yatokee.

Safari hii tena si kwa mdada mbeya tu wa asili mtaani mwenye frustrations zake, bali Msomi wa Taifa na aliyesomemwa hadi nje kwenye BATA huku watoto wa maskini wakisoma shule za KITAA lakini leo kwa kukosa fadhila kaamua kuwa "Mbea wa Taifa."

Huyu si mwingine bali Wakili Fatma Karume ambaye pia ni Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) na Mjukuu wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Karume mtu aliyekuwa muungwana sana.

Bahati mbaya sana kwa Taifa, TLS na ulimwengu wa wasomi mbea huyu mpya ni kielelezo cha baadhi ya wasomi walioacha walichofundishwa darasani hasa dhana ya kuhoji bila mawaa "rational thinking" na kumezwa na maslahi ya kisiasa au chuki za asili.

Kwa sasa Rais huyu wa TLS kila hoja ya Chadema anaiunga mkono bila kuhoji.Kila hoja ya kuipinga Serikali anaivamia na kila zuri la Serikali kwake ni baya.

Ni wazi ukiyatazama na kusoma anayoyaandika mitandaoni akibwatuka tu dhidi ya Rais, viongozi wa Serikali na hata viongozi wenzake wanawake Serikalini au hata jambo lolote jema la nchi linapoyokea utakubaliana nami kuwa msomi huyu lazima kuna mawili au yote kati ya haya yanamsibu:

1.Nadharia ya kwanza ni kuwa anaonekana ana asili ya umbea kwenye damu, asili ambayo ni ya asili yake ila alikuwa anatafuta pa kupumulia kwa miaka mingi;

2.La pili anaonekana wazi yuko compromised na Ukawa akiwa "spent force" anayejijua au kutojijua;

3.Anaweza kuwa "spent force" wa mabepari bila kujua au kwa kujua (shoga yake wa mashaka Maria Sarungi ishakuwa dhahiri ni spent force anayeisaliti nchi yake kimkakati);

Ukichanganya yote haya utakubaliana nami kuwa wanaopata taabu sana kwa sasa si Serikali ambayo ni makini na Mama huyu Fatma anajiumbua tu kupambana nayo bali wasomi wenzake na hasa TLS.

Baada ya majaribu ya TLS kuwa na Rais mpayukaji Lissu na kuvunja mwiko wa TLS kuwa chama cha kitaaluma na chenye umakini mkubwa katika kuyaendea mambo leo ni aibu kwa mawakili nchini kuongozwa na "Rais Mbea"

Wakati Fatma akichagua kuwa "Mbeya wa Taifa" TLS imepata kuwa na viongozi wa juu wamama walioacha alama na si makovu kwa tasnia ya sheria kama Jaji Jacqline De Mello, Mama Kashonda na wengine na waliitendea kazi kubwa TLS kitaaluma.Hawa lazima tuwatambue na kuwatofautisha.

Nasema ni Rais Mbea kwa sababu nyingi; lakini hizi mbili zatosha kukuonesha hasara ya mama huyu kwa Taifa:

i.Siku ilipotua Boeing Dreamliner na wambea wakasambaza kuwa hatutaiweza eti kisa kwa siku ikiwa ardhini inagharimu dola 30,000, msomi huyu alikesha mitandaoni akishabikia na kushobokea uzandiki huo bila kuhoji iwe hesabu hiyo ni sahihi au la kwa nini hoja iwe ni ATCL tu ambao hawataweza gharama hizo huku mashirika binafsi na madogo yakimiliki na kuendesha ndege nchini?Hapa sababu zote hapo juu zilihusika.Zilimhusu.

2.Hakuishia hapo akakurupukia hoja ya Uhamiaji kuwabana awakala wanaopeleka watanzania nje kwa madai ya kwenda kufanyakazi kutakiwa kuwa na ushahidi wa mikataba na uwazi wa kampuni wanakopelekwa watanzania hao ili kuwaokoa mamia ya mabinti ambao huko nyuma nchi yetu na nyingine za Afrika zimelaumiwa kwa kutowalinda mabinti ambai huishia kutumikishwa ktk kazi haramu;

Bila kutaka kuekewa wala kufanya "ratiinal thibking" Mbea wa Taifa akachagua kupiga umbea kuwa ni kila diaspora atakaekuja nchini atazuiwa kuondoka badala ya kuangalia maslahi ya mabinti wa Kitanzania waliokusudiwa. Huyu hana huruma hata kwa mabinti wa Kitanzania‍♂

3.Ndani ya TLS kaleta mgawanyiko mkubwa kwa taathira ya umbea na upashikuna, anatamani kila linalofanywa na Serikali TLS ipinge, ana agenda kila kauli mbovu na za kukiuka sheria kutoka kwa Mbowe na Ukawa kama ile ya kuhamasisha watu wauane zinyamaziwe lakini kiongozi mmoja wa wilaya akikosea kwa kuamuru mtu akamatwe anataka TLS itoke na tamko kali na.lenye lugha ya umbea

Nafahamu wasomi hasa wa nadharia ya "rational thinking" wanapitia wakati mgumu, nafahamu TLS iko katika majaribu makubwa.

Nasaha zangu: kwanza kama ningekuwa wakili ningejitoa katika chama hiki cha TLS.

Lakini ushauri wangu mkubwa ni wasomi na mawakili KATAENI UMBEA kuweni "RATIONAL."
Wewe ndiye Mbeya badala ya kujibu hoja zake Wewe unaandika pumba, kwani kuwa upande ule wa pili lazima ujitoe ufahamu?
 
Shida ya Fatuma karume iko wapi? Akisema ukweli mmbea. Sasa nani aliyekana hoja zake kwa hoja yenye nguvu?

Mkiambiwa ukweli hii serikal unaona unaambiwa mmbea. Dream liner mpaka sasa hivi ni janga la taifa Bado unashabikia upuuzi.

Subiri uone yatakayo Kukuta baada ya hizo buku Saba kuisha
 
Maneno meengi.. Umeandika pumba tu, jiulize Fatma ana shida gani!! Angemua kujipendekeza kama wewe hata wizara angekabidhiwa, Babu baba wa taifa, baba rais mstaafu.. Wewe kajamba nani unasaka buku saba. Lofa kabisa.
Jibu hili hapa limemaliza hii mada!
 
Hivi sasa ni dhahiri kuwa baada ya anguko la Mange Kimambe ambaye hana hoja tena, Tanzania imepata majaribu mengine katika kuelekea safari yake ya mabadiliko; majaribu ambayo hata hivyo ni lazima yatokee.

Safari hii tena si kwa mdada mbeya tu wa asili mtaani mwenye frustrations zake, bali Msomi wa Taifa na aliyesomemwa hadi nje kwenye BATA huku watoto wa maskini wakisoma shule za KITAA lakini leo kwa kukosa fadhila kaamua kuwa "Mbea wa Taifa."

Huyu si mwingine bali Wakili Fatma Karume ambaye pia ni Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) na Mjukuu wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Karume mtu aliyekuwa muungwana sana.

Bahati mbaya sana kwa Taifa, TLS na ulimwengu wa wasomi mbea huyu mpya ni kielelezo cha baadhi ya wasomi walioacha walichofundishwa darasani hasa dhana ya kuhoji bila mawaa "rational thinking" na kumezwa na maslahi ya kisiasa au chuki za asili.

Kwa sasa Rais huyu wa TLS kila hoja ya Chadema anaiunga mkono bila kuhoji.Kila hoja ya kuipinga Serikali anaivamia na kila zuri la Serikali kwake ni baya.

Ni wazi ukiyatazama na kusoma anayoyaandika mitandaoni akibwatuka tu dhidi ya Rais, viongozi wa Serikali na hata viongozi wenzake wanawake Serikalini au hata jambo lolote jema la nchi linapoyokea utakubaliana nami kuwa msomi huyu lazima kuna mawili au yote kati ya haya yanamsibu:

1.Nadharia ya kwanza ni kuwa anaonekana ana asili ya umbea kwenye damu, asili ambayo ni ya asili yake ila alikuwa anatafuta pa kupumulia kwa miaka mingi;

2.La pili anaonekana wazi yuko compromised na Ukawa akiwa "spent force" anayejijua au kutojijua;

3.Anaweza kuwa "spent force" wa mabepari bila kujua au kwa kujua (shoga yake wa mashaka Maria Sarungi ishakuwa dhahiri ni spent force anayeisaliti nchi yake kimkakati);

Ukichanganya yote haya utakubaliana nami kuwa wanaopata taabu sana kwa sasa si Serikali ambayo ni makini na Mama huyu Fatma anajiumbua tu kupambana nayo bali wasomi wenzake na hasa TLS.

Baada ya majaribu ya TLS kuwa na Rais mpayukaji Lissu na kuvunja mwiko wa TLS kuwa chama cha kitaaluma na chenye umakini mkubwa katika kuyaendea mambo leo ni aibu kwa mawakili nchini kuongozwa na "Rais Mbea"

Wakati Fatma akichagua kuwa "Mbeya wa Taifa" TLS imepata kuwa na viongozi wa juu wamama walioacha alama na si makovu kwa tasnia ya sheria kama Jaji Jacqline De Mello, Mama Kashonda na wengine na waliitendea kazi kubwa TLS kitaaluma.Hawa lazima tuwatambue na kuwatofautisha.

Nasema ni Rais Mbea kwa sababu nyingi; lakini hizi mbili zatosha kukuonesha hasara ya mama huyu kwa Taifa:

i.Siku ilipotua Boeing Dreamliner na wambea wakasambaza kuwa hatutaiweza eti kisa kwa siku ikiwa ardhini inagharimu dola 30,000, msomi huyu alikesha mitandaoni akishabikia na kushobokea uzandiki huo bila kuhoji iwe hesabu hiyo ni sahihi au la kwa nini hoja iwe ni ATCL tu ambao hawataweza gharama hizo huku mashirika binafsi na madogo yakimiliki na kuendesha ndege nchini?Hapa sababu zote hapo juu zilihusika.Zilimhusu.

2.Hakuishia hapo akakurupukia hoja ya Uhamiaji kuwabana awakala wanaopeleka watanzania nje kwa madai ya kwenda kufanyakazi kutakiwa kuwa na ushahidi wa mikataba na uwazi wa kampuni wanakopelekwa watanzania hao ili kuwaokoa mamia ya mabinti ambao huko nyuma nchi yetu na nyingine za Afrika zimelaumiwa kwa kutowalinda mabinti ambai huishia kutumikishwa ktk kazi haramu;

Bila kutaka kuekewa wala kufanya "ratiinal thibking" Mbea wa Taifa akachagua kupiga umbea kuwa ni kila diaspora atakaekuja nchini atazuiwa kuondoka badala ya kuangalia maslahi ya mabinti wa Kitanzania waliokusudiwa. Huyu hana huruma hata kwa mabinti wa Kitanzania‍♂

3.Ndani ya TLS kaleta mgawanyiko mkubwa kwa taathira ya umbea na upashikuna, anatamani kila linalofanywa na Serikali TLS ipinge, ana agenda kila kauli mbovu na za kukiuka sheria kutoka kwa Mbowe na Ukawa kama ile ya kuhamasisha watu wauane zinyamaziwe lakini kiongozi mmoja wa wilaya akikosea kwa kuamuru mtu akamatwe anataka TLS itoke na tamko kali na.lenye lugha ya umbea

Nafahamu wasomi hasa wa nadharia ya "rational thinking" wanapitia wakati mgumu, nafahamu TLS iko katika majaribu makubwa.

Nasaha zangu: kwanza kama ningekuwa wakili ningejitoa katika chama hiki cha TLS.

Lakini ushauri wangu mkubwa ni wasomi na mawakili KATAENI UMBEA kuweni "RATIONAL."[/QUOTE Kuna uwezekano na wewe mleta mada ni msomi fulanii,ila elimu na njaa havitengamani,ni njaa ndiyo inakusumbua we SUMBRA
 
Rais wa TLS alie quote sheria mfu mahakamani,aibu hii haijawahi kutokea
Rais kutwa yupo twitter anapiga umbea
 
Back
Top Bottom