Fatma Karume: COSTECH wanatakiwa kusimamia scientific research na sio scientific polling

Rais wa TLS, wakili Fatma Karume ameandika katika mtandao wa twitter kuwa COSTECH wana power ya ku-monitor scientific research na sio scientific polling.

My take:
Yayajo yanafurahisha.
Siasa ni sayansi digrii yake inaitwa political science degree Kwa hiyo utafiti wowote wa siasa ni scientific research tume iko sahihi.asichanganye Na digrii zake za Sheria ambazo ni Arts.
 
Siasa ni sayansi degree yake inaitwa political science degree uKwa hiyo utafiti wowote wa siasa ni scientific research tume iko sahihi.A sichanganye Na digrii zake za Sheria ambazo ni Arts.

Huwa nacheeka nikisikia makada wa ccm wakisema siasa ni sayansi, halafu unakuta siku ya uchaguzi wanatoka na mabox ya kura ndani ya vituo vya kura kisha kurudisha yakiwa na kura za ccm. Halafu unakuta ushindi wa hivyo kuanzia maprof, PhD holders na wasio na elimu wanashangilia eti wanakubalika na wananchi!
 
Kushinda uchaguzi ni science sio art Sababu siasa ni sayansi iwe uchaguzi au chochote.Ushindi ni ushindi mura
 
Siasa ni sayansi digrii yake inaitwa political science degree uKwa hiyo utafiti wowote wa siasa ni scientific research tume iko sahihi.A sichanganye Na digrii zake za Sheria ambazo ni Arts.
Unajua scientific research wewe, unakariri! Political science is not science per se since it involves "human" variables which do not follow or can not be regulated by strict scientific principles and therefore those "human" variables are not predictable by scientific rules!
 
Unajua scientific research wewe, unakariri! Political science is not science per se since it involves "human" variable which do not follow or can not be regulated by strict scientific principles and therefore those "human" variables are not predictable by scientific rules!
Then why is it called political science degree? Nisamehe Kwa kukuuliza Kwa lugha ya mkoloni mwingereza ni kwa kuwa sijui kama wewe ni mndengereko au la ningekuuliza kindengereko Huwa najisikia aibu kuongea lugha ya mkoloni aliyetutawala samahani kukukuuliza kiingereza
 
Hekima kubwa!
 
Siasa ni sayansi digrii yake inaitwa political science degree uKwa hiyo utafiti wowote wa siasa ni scientific research tume iko sahihi.A sichanganye Na digrii zake za Sheria ambazo ni Arts.
Hahaha kaka " Scientific Research" na " Scientific Polling" ni vitu viwili tafauti…..

Kwa Kiswahili Scientific Research" = "Utaviti" = "the systematic investigation into and study of materials and sources in order to establish facts and reach new conclusions" = "Ni mfumo wa masomo ya utafiti wa kitu au chanzo cha kitu ili kuweza kudhibitisha ukweli wa kitu hicho kwa mtazamo mpya katika tamati ya utafiti"

"Scientific Polling" = "Record the opinion or vote of focus groups in which customers are polled about merchandise preferences..." = "Kurikodi mawazo au Kura za kikundi cha watu(wadau),Mdau ana piga kura kutokana na kufananisha kile anachokipigia kura"....

Mkuu,kwa tafsiri hizo naona "Scientific Research" na "Scientific Polling" zina maana tafauti….Ndio maana tunambiwa watanzania ni watu wenye IQ ndogo sana katika dunia...
 
Hahaha kaka " Scientific Research" na " Scientific Polling" ni vitu viwili tafauti…..

Kwa Kiswahili Scientific Research" = "Utaviti" = "the systematic investigation into and study of materials and sources in order to establish facts and reach new conclusions" = "Ni mfumo wa masomo ya ukutafiti wa kitu au chanzo cha kitu ili kuweza kudhibitisha ukweli wa kitu hicho katika tamati ya utafiti"

"Scientific Polling" = "Record the opinion or vote of focus groups in which customers are polled about merchandise preferences..." = "Kurikodi mawazo au Kura za kikundi cha watu(wadau),Mdau ana piga kura kutokana na kufananisha kile anachokipigia kura"....

Mkuu,kwa tafsiri hizo naona "Scientific Research" na "Scientific Polling" zina maana tafauti….Ndio maana tunambiwa watanzania ni watu wenye IQ ndogo sana katika dunia...
Sasa mntakiwa muwaulize hao twaweza kwanini walikwenda kujiandikisha kule?
 
Then why is it called political science degree? Nisamehe Kwa kukuuliza Kwa lugha ya mkoloni mwingereza ni kwa kuwa sijui kama wewe ni mndengereko au la ningekuuliza kindengereko Huwa najisikia aibu kuongea lugha ya mkoloni aliyetutawala samahani kukukuuliza kiingereza
Mkuu kila kitu cha utafiti ni sayansi,kila kitu kilichokuwa hakishirikishwi na Mungu ni Science,..kuna "computer science",kuna political Science",Economical Science...nk

"Science" = "Masomo ya utafiti" = "the intellectual and practical activity encompassing the systematic study through observation and experiment". = " Umakini wa kubuni na vitendo unaofanywa kwa mfumo wa masomo kutokana na kuangalia na kujaribu kile unachokifanya"..

Inaitwa "Political Science",kwa sababu ni mfumo wa masomo yanayoangalia kwa kujaribu(experiment) au kwa kuangalia(Observation) jamii za watu...,..
 
Back
Top Bottom