christelly
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,464
- 1,463
Mkuu.kunasehemu nilikuwa ,dada mmoja akawa anatishia kwenda kujichoma kisu na kulikuwa na askari wote wakiume...nikawaambia kwanini wasimkamate mtu huyu anaetaka kujichoma kisu??? Wakanijibu sheria zao zinasema huyu mtu inapaswa ashikwe na askari mwanamke siyo wao wa kiume.....Askari wa kiume atamshikaje mwanamke? Kama angekuwa mkewe au mama yake angefurahia? Jeshi letu limejaa askari wa kike, walikuwapo wapi? Hawa askari walikuwa hawajui kama mahakamani kuna watu wa gender zote?
Hii ni sawa na mganga mkuu wa hospitali kuamua kuwapikia wagonjwa wote chakula cha aina moja wakati kuna wagonjwa wa maradhi tofauti hospitalini. Na jeshi la polisi linapopeleka askari kwenye public lazima mwanamke awemo japo mmoja kuachana na tabia ya kugusagusa dada na mama zetu ovyo.
Sasa mijitu inavomropokea huyu binti karume ,mimi nayacheeekaaa....yanadhani binti karume ni mwehuuuu....
Sent using Jamii Forums mobile app