Father to son about marriage

Father to son about marriage

Ku share kwa maana ya kumsaidia baadhi ya bills haina shida,ila akitaka ku split kila bill tulipe 50 50 ajue zamu ya kudeki na kuosha vyombo iko njiani!!

Kwani tatizo la kudai haki sawa ndani ya familia linaanzia wapi? Ni ile kutaka kupangiana zamu za kupika, kutandika nk. Ndoa sio mahali pa kufanyia harakati, ni mahali pa kuonyeshana uvumilivu na kurekebishana kwa Upendo!
 
Uko sahihi kabisa.

Shida inaanzia kwa ME,wanataka kusaidiwa yao ila wao kusaidia wanaona wanadhalilishwa,mama akiweka msichana amsaidie anaambiwa anasahau majukumu yake.
 
Jamani ndo maana mkatoka kwa wazazi mkaapa kua pamoja,inamaana kushirikiana kumalizia ule muda wa maisha yenu no matter what,saa ukaanza kukp ur secrets hapo ndipo mnapo haribu ME,KE akigundua lazima muanze mifarakano,why dont u be fair n free lyf ts how u make t bhana,maisha simple kama ukitaka yawe simple n u gona enjoy t,blv me u guys,secrets,unfaithfull, hav no chance in love relationship!!
 
Duh, the best thread so far.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Back
Top Bottom