Father Privatus Karugendo

Status
Not open for further replies.

Pwito

Senior Member
Mar 28, 2012
179
39
Jamani naomba mnisaidie kuhusu huyu Padri wa kanisa la Roma na mwanaharakati machachari hapa nchini kwetu, kuna habari nimezipata kwenye chitchat zangu kuwa ameuasi upadirisho na anafamilia ya watoto wawili. Zaidi nimeambiwa anakanisa lake mwenyewe, nimeambiwa pia yuko humu JF ingawa ID tumeshauriwa tusizitaje lakini nimepewa anayotumia ingawa sijaijaribu kujua kama kweli ni yake. Embu yeyote ajuaye aninyooshee kuhusu umbeya huu wa chini ya kapeti
 
Kwani wewe yakwako umeshayaweka tayari mpaka ufatilie ya Karugendo

Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums
 
Nenda fb, utamwona. Tena karusha post ya mwanae mgonjwa yupo nje kwa matibabu. Katoto kazuri kweli. Kwani hujui kuwa walimfukuza upadre? Kwa kwenda kinyume na msimamo wa kanisa. Mwache awe na familia, anastahili.
 
Ni kweli ana mtoto nimeona amemrusha kule FB, nadhani ndio maana aliondolewa kwenye mambo ya upadre.
 
Kwani wewe yakwako umeshayaweka tayari mpaka ufatilie ya Karugendo

Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums

Haimaanishi hivyo dadangu hawa ni watu maarufu ambao kama sio nchi basi dunia inawakodolea macho
 
Nenda fb, utamwona. Tena karusha post ya mwanae mgonjwa yupo nje kwa matibabu. Katoto kazuri kweli. Kwani hujui kuwa walimfukuza upadre? Kwa kwenda kinyume na msimamo wa kanisa. Mwache awe na familia, anastahili.

Ndo nayasikia leo, sikuwahi kujua kama nayeye alilinajisi kanisa.
 
Jamani naomba mnisaidie kuhusu huyu Padri wa kanisa la Roma na mwanaharakati machachari hapa nchini kwetu, kuna habari nimezipata kwenye chitchat zangu kuwa ameuasi upadirisho na anafamilia ya watoto wawili. Zaidi nimeambiwa anakanisa lake mwenyewe, nimeambiwa pia yuko humu JF ingawa ID tumeshauriwa tusizitaje lakini nimepewa anayotumia ingawa sijaijaribu kujua kama kweli ni yake. Embu yeyote ajuaye aninyooshee kuhusu umbeya huu wa chini ya kapeti

A quite tongue shows a wise head!
 
Tafuta kitabu chake kinaitwa Imani yangu Wito wangu,amejaribu kueleza kilichomtokea.Ukikosa ni PM
 
:israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel::israel:
 
Jamani naomba mnisaidie kuhusu huyu Padri wa kanisa la Roma na mwanaharakati machachari hapa nchini kwetu, kuna habari nimezipata kwenye chitchat zangu kuwa ameuasi upadirisho na anafamilia ya watoto wawili. Zaidi nimeambiwa anakanisa lake mwenyewe, nimeambiwa pia yuko humu JF ingawa ID tumeshauriwa tusizitaje lakini nimepewa anayotumia ingawa sijaijaribu kujua kama kweli ni yake. Embu yeyote ajuaye aninyooshee kuhusu umbeya huu wa chini ya kapeti

ingia hapa
http://www.karugendo.net/2010/10/my-bishop.html?m=1
ameelezea kisa chake chote.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom