Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 13,204
- 20,541
Huyu kada wa CHADEMA aliyevaa vazi la upadre ni wa kumpuuza.
Huyu kada wa CHADEMA aliyevaa vazi la upadre ni wa kumpuuza.
Mambo yote ya muhimu ya kufanya hapa duniani wewe jambo la maana umeona ni kudinyana?Huyu jamaa ni smart ..ila kitendo cha kuwa padri ameshusha usmart wote chini...hivi mwanaume kamili unawezaje kuishi usidinge?..yaani your whole life without sex by just a word from your fellow man...hapana kwakweli mbona slaa yeye alikataa ..slaa ni smart sana
HopelessHuyu jamaa ni smart ..ila kitendo cha kuwa padri ameshusha usmart wote chini...hivi mwanaume kamili unawezaje kuishi usidinge?..yaani your whole life without sex by just a word from your fellow man...hapana kwakweli mbona slaa yeye alikataa ..slaa ni smart sana
Ukishazoea maisha ya kuolewa kisiasa na handle yako kwa ajili ya tonge, unafikiri kila mtu anatafuta mume mjini. Pole sana chawa wa kike/kiume, hapa tunajadili upeo mkubwa wa akili wa Fr. Dr. Charles Kitima (PhD), hatujadili nani anasafisha vyombo vya wakubwa wako. Jifunge kibwebwe vizuri maana dozi bado haijaisha!Sawa Mrs Kitima.
Asante Fr Kitima kwa mwongozo.
Mkuu IKEKERA, hoja yako inaeleweka kwa mtazamo wa kibiolojia, lakini unapomzungumzia mtu kama Fr. Dr. Charles Kitima, unachanganya mambo mawili tofauti kabisa: hisia za mwili na uwezo wa akili. Kufikiri kwamba usmart wa mwanaume unashuka kwa sababu tu hatumii kiungo chake cha uzazi ni mtazamo wa kishamba sana.
Kwanza kabisa, usmart haupimwi kwa kile mtu anachofanya chumbani. Dr. Kitima ana elimu kubwa (PhD), ni Katibu Mkuu wa TEC, na sote tunajua mchango wake mkubwa kwenye jamii. Uwezo wake wa kuchambua masuala ya katiba, uchumi, na kusimamia ukweli mbele ya watawala haushuki hata tone kwa sababu ya maisha yake ya useja (celibacy). Anachangia maendeleo ya taifa hili kuliko wanaume wengi "kamili" wanaojivunia ngono huku vichwani mwao kukiwa hakuna kitu cha maana.
Pili, ile sio amri ya kulazimishwa na mwanadamu mwenzake kama unavyodhani, bali ni kiapo cha hiyari (vow). Ili mtu afikie kuwa padri, anapitia malezi na masomo ya miaka karibu 8 hadi 10. Ni mchakato mrefu wa kisaikolojia unaomjenga mwanaume kuwa na nidhamu ya hali ya juu sana ya utashi wake (willpower). Kudhibiti hisia zako za kibiolojia kwa ajili ya wito mkubwa zaidi wa kijamii na kiroho ni ishara ya nguvu kubwa ya akili. Wanaume dhaifu ndio wanaongozwa na hisia za chini ya kitovu wakati wote, sio watu wenye akili kubwa kama yeye.
Tatu, kuhusu mfano wako wa Dr. Slaa, hapo ndipo ulipojifunga kamba mwenyewe. Slaa aliondoka kwa sababu mfumo wa Kanisa Katoliki unaruhusu kuondoka kwa amani ukitaka. Kuondoka kwake hakukumfanya yeye kuwa smart kuliko waliobaki. Inaonesha tu kuwa wale wanaobaki kama Fr. Kitima wana uthabiti, msimamo, na kifua cha chuma cha kusimamia kile wanachokiamini kwa ridhaa yao wenyewe.
Mkuu IKEKERA, mwanaume kamili hapimwi kwa idadi ya mechi anazocheza au watoto anaowazaa. Anapimwa kwa misingi anayosimamia, nidhamu ya mwili wake, na mchango chanya anaoutoa kwa taifa lake. Kwenye hayo yote, Dr. Kitima yuko vizuri sana. Punguza kukariri maisha.
Mmawia kumbe na wewe kichwani ni mwepesi namna hii? Hii clip wameunganisha mazungumzo ya zamani, akizungumzia jambo jingine kabisa na siyo hili suala la Nchimbi.Aisee hawa watu wapi mbele sana kwa intelejensia ya uhakika.
Hawanaga kuficha ficha wala uchawa wao ni straight.
Si kwa uchawa huo kwa huyo Padri!Unawezaje kumpuuza mtu ambaye ukichanganya akili za ukoo wenu, changanya na huyo uliyechagua kuwa handle yako ya JamiiForums, hamfikii hata asilimia 10 ya akili za Fr. Dr. Charles Kitima (PhD)?
Hongera sana kwa kuonyesha jinsi akili yako ilivyohama rasmi kichwani na kuhamia tumboni kwa ajili ya kusaka tonge. Ni maajabu ya karne kumwona chawa anayeishi kwa kusifia akijaribu kupima akili ya Fr. Dr. Charles Kitima (PhD). Ukweli ni kwamba, uwezo wa kiakili wa Kitima ni mkubwa mno; hata ukichukua akili za ukoo wenu wote tangu kuumbwa kwa ulimwengu, ukachanganya na akili za huyo uliyechagua jina lake liwe handle yako ya MamaSamia2025, bado hamfikii hata asilimia 10 ya akili za Kitima. Tafuta kazi ya kufanya, kusifu kila kitu kwa ajili ya makombo ya mezani kunakuharibia utu wako.
Nimegundua JamiiForums kuna genge la watu ambao hoja ikizidi urefu wa masufuria yao ya ugali, wanaanza kuweweseka kuhusu ngono na ushoga. Mimi sina muda wa uchawa; niko hapa kimkakati kwa ajili ya kufundisha na kuelimisha watu wenye vichwa vigumu wasiojitambua. Kama darasa hili limekuingia na wewe, basi mshukuru Mungu. Fr. Dr. Charles Kitima (PhD) anajadiliwa kwa upeo wa akili, sio kwa akili zenu fupi zinazowaza mambo ya chumbani masaa 24. Badilikeni!Si kwa uchawa huo kwa huyo Padri!
Hao wanapiga miti sana tu mkuu mpaka wana watoto huko wamezaa.Huyu jamaa ni smart ..ila kitendo cha kuwa padri ameshusha usmart wote chini...hivi mwanaume kamili unawezaje kuishi usidinge?..yaani your whole life without sex by just a word from your fellow man...hapana kwakweli mbona slaa yeye alikataa ..slaa ni smart sana
Tumia akili kufikiria hayo mahaba mbele hayakusaidii, Umeona msomi ni yeye peke yake hadi ufananishe ukoo mzima wa mchangiaji kwa kichwa kimoja?Nimegundua JamiiForums kuna genge la watu ambao hoja ikizidi urefu wa masufuria yao ya ugali, wanaanza kuweweseka kuhusu ngono na ushoga. Mimi sina muda wa uchawa; niko hapa kimkakati kwa ajili ya kufundisha na kuelimisha watu wenye vichwa vigumu wasiojitambua. Kama darasa hili limekuingia na wewe, basi mshukuru Mungu. Fr. Dr. Charles Kitima (PhD) anajadiliwa kwa upeo wa akili, sio kwa akili zenu fupi zinazowaza mambo ya chumbani masaa 24. Badilikeni!
Na Makamu Nchimbi je ?Huyu kada wa CHADEMA aliyevaa vazi la upadre ni wa kumpuuza.
Maisha bila ngono hayana maana yeyote...Akili yako yote inawaza ngono tu!! Baadala ya kutafakari mawazo yake kama ni chanya.
It is laughable to see someone who survives on political fanaticism and sycophancy for survival talking about 'national interests.' No nation-building table has room for idiots who obsess over sexual remarks in the middle of intellectual discussions by scholars like Fr. Dr. Charles Kitima (PhD). I used your family line as an example so you could grasp the vast distance between true knowledge and your online hunger, but unfortunately, your head refused to understand. Keep on blocking whatever you think you are blocking from your local street corners. After this hit, do not expect another reply from me—the class is officially closed for you, as you cannot sit at the same table with intellectuals when you lack the capacity to differentiate national issues from petty street taunts. Farewell, sycophantTumia akili kufikiria hayo mahaba mbele hayakusaidii, Umeona msomi ni yeye peke yake hadi ufananishe ukoo mzima wa mchangiaji kwa kichwa kimoja?
Kwa akili hizo ndiyo zinapelekea wenye dhamira njema na nchi kuona hakuna haja ya kukaa meza moja katika ujenzi wa nchi na kubaki kuwabania mwanzo mwisho.
Maslahi ya nchi ni hatma ya kila mmoja na si kuingiza mambo binafsi(Chuki+Mahaba)
Komaza akili kwanza kisha uelimike hapa.
Ulishawahi kumpa tundu akakutatua nini mboni una hasira nae sana?hata padri mlevi zaidi, mchochezi, muongo, mwenye chuki binafsi zaidi na mpenda ngono sana, anapatikana Tanzania tu tena ni ndani ya kanisa katoliki![]()
Sawa padri kitima...MTU smart hawezi kuamuliwa mambo yake na "just a man made system"..
Mkuu IKEKERA, hoja yako inaeleweka kwa mtazamo wa kibiolojia, lakini unapomzungumzia mtu kama Fr. Dr. Charles Kitima, unachanganya mambo mawili tofauti kabisa: hisia za mwili na uwezo wa akili. Kufikiri kwamba usmart wa mwanaume unashuka kwa sababu tu hatumii kiungo chake cha uzazi ni mtazamo wa kishamba sana.
Kwanza kabisa, usmart haupimwi kwa kile mtu anachofanya chumbani. Dr. Kitima ana elimu kubwa (PhD), ni Katibu Mkuu wa TEC, na sote tunajua mchango wake mkubwa kwenye jamii. Uwezo wake wa kuchambua masuala ya katiba, uchumi, na kusimamia ukweli mbele ya watawala haushuki hata tone kwa sababu ya maisha yake ya useja (celibacy). Anachangia maendeleo ya taifa hili kuliko wanaume wengi "kamili" wanaojivunia ngono huku vichwani mwao kukiwa hakuna kitu cha maana.
Pili, ile sio amri ya kulazimishwa na mwanadamu mwenzake kama unavyodhani, bali ni kiapo cha hiyari (vow). Ili mtu afikie kuwa padri, anapitia malezi na masomo ya miaka karibu 8 hadi 10. Ni mchakato mrefu wa kisaikolojia unaomjenga mwanaume kuwa na nidhamu ya hali ya juu sana ya utashi wake (willpower). Kudhibiti hisia zako za kibiolojia kwa ajili ya wito mkubwa zaidi wa kijamii na kiroho ni ishara ya nguvu kubwa ya akili. Wanaume dhaifu ndio wanaongozwa na hisia za chini ya kitovu wakati wote, sio watu wenye akili kubwa kama yeye.
Tatu, kuhusu mfano wako wa Dr. Slaa, hapo ndipo ulipojifunga kamba mwenyewe. Slaa aliondoka kwa sababu mfumo wa Kanisa Katoliki unaruhusu kuondoka kwa amani ukitaka. Kuondoka kwake hakukumfanya yeye kuwa smart kuliko waliobaki. Inaonesha tu kuwa wale wanaobaki kama Fr. Kitima wana uthabiti, msimamo, na kifua cha chuma cha kusimamia kile wanachokiamini kwa ridhaa yao wenyewe.
Mkuu IKEKERA, mwanaume kamili hapimwi kwa idadi ya mechi anazocheza au watoto anaowazaa. Anapimwa kwa misingi anayosimamia, nidhamu ya mwili wake, na mchango chanya anaoutoa kwa taifa lake. Kwenye hayo yote, Dr. Kitima yuko vizuri sana. Punguza kukariri maisha.
Hana jipya kushinda wengine zaidi ya kuelemea kwenye mitazamo binafsi kwa maslahi yake au Taasisi anayo iongoza , jitafakari kutoka kwenye utumwa wa mahaba dhidi ya watu bila hoja thabiti kwa maslahi ya Tanzania.It is laughable to see someone who survives on political fanaticism and sycophancy for survival talking about 'national interests.' No nation-building table has room for idiots who obsess over sexual remarks in the middle of intellectual discussions by scholars like Fr. Dr. Charles Kitima (PhD). I used your family line as an example so you could grasp the vast distance between true knowledge and your online hunger, but unfortunately, your head refused to understand. Keep on blocking whatever you think you are blocking from your local street corners. After this hit, do not expect another reply from me—the class is officially closed for you, as you cannot sit at the same table with intellectuals when you lack the capacity to differentiate national issues from petty street taunts. Farewell, sycophant
Katiba mpya itatenganisha vyombo vya dola na vyama vya siasa na siasa kiujumla wewe chawa wa buku 7.Katiba Mpya na mambo ya tume au vyombo vya usalama wapi na wapi?
Lazima mamako atakuwa anajua akili za Kitima.Ukishazoea maisha ya kuolewa kisiasa na handle yako kwa ajili ya tonge, unafikiri kila mtu anatafuta mume mjini. Pole sana chawa wa kike/kiume, hapa tunajadili upeo mkubwa wa akili wa Fr. Dr. Charles Kitima (PhD), hatujadili nani anasafisha vyombo vya wakubwa wako. Jifunge kibwebwe vizuri maana dozi bado haijaisha!