Father and son

Father and son

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
11,481
Reaction score
1,371
[h=6]father ; nilete soda we mtoto
son ; pepsi or coka?
father ; pepsi
son ; ya kopo ya chupa?
father ; ya kopo
son ; ya baridi or yamoto?
father ; hee! we mtoto mbna maswali mengi....basi bwana ni letee maji tu
son ; ya hapa hom or nika nunue kwa shop?
father ; ya hapa hapa
son ; ya baridi ya moto?
father ; ya baridi
son ; kwenye glasi or kikombe?
father ; ntakupiga na ufagio we mtoto
son ; ufagio wa chelewa or wa mti?
father ; ntaku uwa we mtoto
son ; uta uwaje utanichoma kisu or utanipiga na bastola?
father ; ntakupiga na bastola
son ; kichwani or tumboni?
father ; kichwani...NIMEKWAMBIA TOKA NJE
son ; saiv or baadae kidogo?
father ; sasa ivi
son ; maji hutaki?
[/h]
 
Huyo kama co little johny bac madenge.
 
Hawa ndo watoto wa kizazi cha dot com!! Inafurahisha!
 
father ; nilete soda we mtoto
son ; pepsi or coka?
father ; pepsi
son ; ya kopo ya chupa?
father ; ya kopo
son ; ya baridi or yamoto?
father ; hee! we mtoto mbna maswali mengi....basi bwana ni letee maji tu
son ; ya hapa hom or nika nunue kwa shop?
father ; ya hapa hapa
son ; ya baridi ya moto?
father ; ya baridi
son ; kwenye glasi or kikombe?
father ; ntakupiga na ufagio we mtoto
son ; ufagio wa chelewa or wa mti?
father ; ntaku uwa we mtoto
son ; uta uwaje utanichoma kisu or utanipiga na bastola?
father ; ntakupiga na bastola
son ; kichwani or tumboni?
father ; kichwani...NIMEKWAMBIA TOKA NJE
son ; saiv or baadae kidogo?
father ; sasa ivi
son ; maji hutaki?
ningebadilishana na mtu akanipa angalau mkungu wa ndizi(Akatokatoke!)
 
Ni raha midingi ikipata usumbufu km huu toka kwa wtt wao
 
Katoto kama haka kakutane na mdingi daktari alietoka muda huo huo kusikiliza hotuba ya JK kwa wazee wa darisalaama...ana hasira na kiu. Atakula makonzi ya utosi hadi asahau kama yeye ni wa kiume au wakike.
 
[h=6]father ; nilete soda we mtoto
son ; pepsi or coka?
father ; pepsi
son ; ya kopo ya chupa?
father ; ya kopo
son ; ya baridi or yamoto?
father ; hee! we mtoto mbna maswali mengi....basi bwana ni letee maji tu
son ; ya hapa hom or nika nunue kwa shop?
father ; ya hapa hapa
son ; ya baridi ya moto?
father ; ya baridi
son ; kwenye glasi or kikombe?
father ; ntakupiga na ufagio we mtoto
son ; ufagio wa chelewa or wa mti?
father ; ntaku uwa we mtoto
son ; uta uwaje utanichoma kisu or utanipiga na bastola?
father ; ntakupiga na bastola
son ; kichwani or tumboni?
father ; kichwani...NIMEKWAMBIA TOKA NJE
son ; saiv or baadae kidogo?
father ; sasa ivi
son ; maji hutaki?
[/h]

Ume SHINE sana na imecheka kisawa sawa!! Haya ndio mambo nayoyapenda nikiwa nimechoka!?
 
Inawezekana dogo alikuwa kweny tv na mchezo anaoupenda hivy alikuwa hataki kuondoka.
 
hahaa dogo lenyewe hili hapa..

49773_100000675067717_4882_n.jpg
 
Back
Top Bottom