Fata nyuki ule asali, Fata nzii ule?

Alagwa

Member
May 30, 2012
95
85
Jamani unaweza kuwa na rafiki au ndugu unamwamini ukajua anaweza kukusaidia kwa shida na raha basi akiwa na matatizo unajitahidi kumsadia lakini baada ya kumfanikishia mambo yake basi nawe siku1 tuu ukapata shida anageuka wa matangazo ya kukutangaza mtaani utasikia `jamaa ameishiwa sasa hana hata kumi na bado anadaiwa kodi` ni kweli lakini hajakutuma utangaze na kama amekusaidia wewe leo hauoni umuhumu wa kumsaidia basi funga bakuli lako mwache apambane na shida zake usiwe chaumbe kutangaza mtaani
Siku Njema Jamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom