Fat v/s fiber | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fat v/s fiber

Discussion in 'JF Doctor' started by Konzogwe, Sep 6, 2008.

 1. K

  Konzogwe JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 441
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Cancer is associated with CARCINOGENS-chemical irritants that can produce cancerous lesions over time.

  Bile acids are an example.The amount of fat in diet affects the amount of bile the body produces.In the intestinal tract some of these bile acids can form irritating carcinogenic compaunds.The longer these compaunds stay in contact with the lining of the colon,the more irritation results.

  This is where Fiber comes in.With a low fiber diet,material move slowly through the intestines,often taking from 72hrs to 5days to complete the journey from entry to exit.Most fibers absorb water like a sponge.This helps fill the intestines and stimulates them to increase activity.With a high fiber diet,food travels through the intestines in 24 to 36hrs.
   
 2. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Thanks for the information Konzongwe, pia katika hayo mambo ya fibre hivi pale mtu anapopata choo kigumu sana au kukaa mda bila kwenda choo ndo inamaanisha hana fibres za kutosha! Na je ni vyakula vipi vizuri atakavyoweza kula ili vimpe choo kizuri. Nina ndugu wengi wenye tatizo hili. Naomba ushauri hapo. Na je mtu akiwa anachukua mda kwenda choo kama wiki hivi kunamadhara gani? Asante kwa msaada wako.
   
 3. K

  Konzogwe JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2008
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 441
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Asante Lorain.Jibu la haraka ni ndiyo,upungufu wa fiber na hili tatizo linaitwa CONSTIPATION.

  Excess fat in our diets ni chanzo kikubwa cha maradhi kama HEART DESEASE,GALLSTONES,OBESITY,STROKES AND DIVERTICULITIS.Hayo ni machache kati ya mengi.

  Solution:punguza vyakula vya fat nyingi i.e animal products zote na mayai ni hatari.Zidisha vyakula vya matunda na majani because these plant foods are high in fiber,low in fat,and cholesteral,they are the ideal way to go.

  Nadhani nimejibu,kama bado uliza.

  Ujumbe:Eccleastes/Mhubiri 10:17
   
 4. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Asante sana kaka nashukuru nikekuelewa vizuri.
   
 5. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  Naongezea kwenye majibu ya Konzogwe
  Moja ya vyakula vyenye fiber kwa wingi ni maharagwe.
  Chakula kisicho na fiber kabisa ni wali.  .
   
 6. H

  Haika JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  je, mihogo, viazi, na mizizi mingine ya kijadi je? (magimbi) unashauri je kuhusu kuongeza fiber?
  manake wanasema eti katika triangle ya chakula
  whole foods/grains (fibers&starches) ndio ziwe nyingi zikifuatiwa na mboga, then matunda na proteins then sukari kidogo kabisa kama sijakosea.
  sasa hizo 'whole grains' ndio zipi hapa bongo?
   
 7. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  Whole grain? ...Uketo, ngararimo au makukuru ;)  .
   
 8. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kukaa zaidi ya siku 3 bila kupata haja kubwa sio sawa na tatizo hili huwapata wakina dada wengi,hatujui unakula nini,kama unakunywa maji ya kutosha. Ukinywa maji ya moto glasi 2-3 asubuhi na kula matunda/mboga kwa wingi na kutoruka milo mingine lazima utapata choo angalau kila siku 2.Mi huwa napata kila siku mara zingine hata mara 2 kwa siku.
   
  Last edited by a moderator: Sep 22, 2008
 9. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Katika tafiti za hivi karibuni zimeonyesha ulaji wa starches nyingi unachangia kunenepa zaidi hata ya mafuta[mafuta mabaya ni ya wanyama].Watu wa mediterania[morocco,tunisia,algeria,spain,italy,france,greece etc] wanaongeza vijiko mpaka 3 vya olive au oil ingine ya vegetable kwenye kila mlo[sahani] na hawanenepi.Mihogo ni source nzuri ya fibre.Tule starches lakini sio kwa uwingi sana.
   
 10. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #10
  Sep 22, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135  Haika swali lako gumu. Hebu cheki hapa: Sources of fiber


  Likanijia swali baada ya kusoma Dietary fiber, kuhusu tofauti ya Soluble Fiber vs Insoluble Fiber.  Insoluble Fiber

  Soluble Fiber


  .
   
 11. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #11
  Sep 22, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Asante sana kwa maongozo wako. Sasa naswali lingine, naambiwa mtu ukinywa maji ya moto yanaweza kukuletea ulcers maana utumbo wa binadamu ni weak sana. Naomba ushauri pia hapa.
   
 12. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #12
  Sep 22, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135  Duh!
  Wapi ulisikia au kusoma habari hizo? Siyo kweli. Na pia, utumbo/tumbo la binadamu sio weak hata kidogo.


  Kama mtu ana ulcers tayari, kuna vyakula atahitaji kuviepuka.  .
   
 13. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hapana dada lorain sio ya moto wa kuungunza labda niyaite uvuguvugu.
   
 14. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #14
  Sep 22, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Thank you, maana nilisikia pia kuwa inasaidia kupunguza tumbo! Sijui ni kweli au vipi nisaidieni.
   
 15. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ok thanks.
   
 16. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #16
  Sep 22, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hilo la kupunguza mafuta nimelisikia kwa wajapani na wachina sasa hayo yanatakiwa kuwa na moto wa chai.Na inabidi utumie kwa muda kuona tafauti.
   
 17. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #17
  Sep 22, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Maji ya moto peke yake hayawezi kupunguza tumbo (belly/tummy)

  Lorain, jifunze kutafuta information zaidi kujiridhisha, asikudanganye mtu.
  Anzia hapa.  .
   
 18. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #18
  Sep 22, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Asante sana ndugu, lakini hii sehemu ni check lakini inaonyesha ni lazima nilipie ndo niweze kupata hizo information. Kunayo namna yakuweza kupata hiyo program kama mtu anayo please.
   
 19. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #19
  Sep 22, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  Sehemu ipi hiyo?
  .
   
 20. A

  Aunty Lao JF-Expert Member

  #20
  Sep 22, 2008
  Joined: Jul 7, 2008
  Messages: 215
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nilipo ingia hiyo sehemu nisoma nika fika sehemu inasema if u want to loose the fat belly for women click here. Nilipoingia nikafika kwenye sehemu ya kujaza form ya credit card ili watume hiko kitabu.
   
Loading...