IPECACUANHA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 3,230
- 1,925
Fast jet wamewaweka abiria kutoka saa nane mchana bila taarifa hadi saa tano usiku bila taarifa yeyote Kutoka Mwanza. Mateso mateso
Kazi kwenu wapenda vya dezo!
Mmh mbona hueleweki kiongozi? Ebu tupe habari kamili. Poleni sana.Unaongea kama unapumulia kwenye njia isiyo na meno..niko hapa airport pia.nilitakiwa ku connect na ndege ya kwenda dubai saa 7.hadi saa hii 6:30.hawa jamaa ni Washenzi kwa ujumla