Fastjet wamewafuma Watanzania

Wezi wakubwa. Ukinunua kitu kama kinywaji kwenye ndege hawarudishi hata chenji.
 
Kinachoniuma ni nauli 45,000/= Halafu kodi zaidi ya 50,000/= sijui wanakalukuleti vipi hesabu.!!
 
Sijawahi kupanda fastjet na sitegemei kupanda kwa haya malalamiko ninayoyasoma kwa watumiaji.
Nitatembea tu na gari yangu, Dar-Mwanza sio mbali pa kutisha.
 
Tatizo wapo peke yao.Ngoja waje wapinzani mbona watanyoka kama ccm inavyonyoka.
 

You nailed it bro...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…