Bei ya tiketi ya ndege duniani kote ukikata mapema unapata cheap, lakini ukate leo uondoke kesho, usitegemee urahisi
sawa mkuu lakini yapo mashirika ambayo yanafahamika kuwa wapo cheap na wengine ghali kama ethiopia bei zao zipo chini tofauti na mshirika mengine ktk route iyo iyo..
Ni sawa kabisa, lakini hata wao ukiangalia bei ya kuondoka nayo wiki ijayo ni tofauti na ya kuondoka nayo mwezi ujao, utaona bei inakua nafuu zaidi pale ukikata muda mrefu. Utaratibu wa ndege pamoja na kwamba unakuta haina utofauti wa siti yangu na yako, lakini kuna zile siti za bei kubwa kulingana na muda ambazo huwa hazinunuliwi mapema
Mie nimekata mwezi uliopita ya kusafiri mwezi ujao (DAR-MZA) sh. 48,000/- one way. Siui kama wanatoa juisi za bure!
bongo maajabu hayataisha unauziwa chakula angani?
Mama ntilie wako pote duniani hata angani ila wakiwa angani wanaitwa air hostess siyo mama nitilie.Chakula kinaongeza bure gharama ya tiketi kuipunguza ndio fast jet wakaona waondoe chakula kwenye tiketi ili wasimbebeshe abiria mzigo asiotaka.Wako wengi ambao huwa hawali chochote kwenye ndege hivyo kuondoa gharama za chakula kwenye tiketi kwao ni raha burudani.
Chakula chenyewe cha kwenye ndege kwa sisi walaji ni kuchokoza njaa tu bure mimi huwa sitaki kula kwenye ndege kabisa.
Mie ugonjwa wangu wale air hostess na papuchi zao zinaliwaje na Wateja
Hahahahahahahahaahahahhhaahahahaaaa
Naomba nisaidiwe pia juzi nilitaka kukata fasjet online July June 28 kutoka knjaro Mza nikapewa bei ya laki na nusu flight ya SAA sa
ba sasa najiuliza huo urahisi uko wapi?