Fastjet: Basi linalopaa angani

 
Fastjet wajitahidi kwa customer care. maana kwanza customer service # 0685680538 na 0767007903 haipatikan, ikitokea ukaenda ofisini kwao (DOUBLE TREE &SAMORA ndo utajuta na majibu toka kwa wadada wao wakatisha tiketi
 

Hahahaha mkuu umenifurahisha sana eti ukiongea kingereza ndo unaharibu kabisa.
 
Kuna mchaga mmoja ni crew kwenye mmojawapo ya ndege ya fastjet yule jamaa ana lafudhi ya kichaga sasa nafikir katika kurahisisha mambo kaamua kujiandikia maelekezo yote kwenye karatasi anasoma word to word mwanzo-mwisho. Umetishaaa massawe
 
Kweli hata fikra zetu zimetawaliwa yaani mtanzania ambae hajui kiingereza unamcheka? Au unamshangaa? Ulikuwa unamuuliza maswali ya kiingereza wakati kiswahili unakijua ndio maana wamekukomesha wameondoka na chenji yako,,
 
Fastjet hawana makosa....jina linajitosheleza airline ya safari fupi na budget airline, next time nenda na change yako, kibongobongo wanajitahidi, Ulaya wana budget airline kama EasyJet na Rynair wanatengeneza siti za kusimama kama basi za mbagala
 
Wabongo nao bwana, wanapenda kula njiani, kama mchwa! We safari ya Lisaa manunuzi kwenye ndege ya nini?? Sijui ushamba
 
change ya nini??? kwani nauli mnalipia humo kwenye ndege???! au ndio maana umeita basi linalopaa?!
Somauelewe kwanza kiminyeo no 2;iweje wanatoa huduma,,,sijui niendelee kukuelekeza mpwa??
 
 
sijawahikupandandege mpwa ;;ndomaananaulizampwa
Mpwa aijaaribikakitu hii ndege wananunua vinywaji ndani na msosi sasahapo ndipo jamaa wanalia awarudishiwi chenchi sasaa unaenda kwenye ndege name Doolatano urudishiwe doller mbilii wapinawapi. Good job team hii itawafanya mjena pesakamilii kwenye ndege
 

ndio dawa yaohiOmpwauNaendAnnamIamiatU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…