imani ernest
Senior Member
- Jan 16, 2013
- 138
- 92
Muonamambo pole sana kwa hilo lililokukuta, tunaomba utuambie ni marketing personnel gani alokupa hayo majibu? kama unaweza pata jina lake ingesaidia sana kurekebisha kosa hilo lisitokee kwa mtanzania mwingine. ila fastjet sio wezi hata kidogo ndo maana tumeamua kurekebisha madhaifu yetu yote to grow stronger.
zamlock mimi kama msemaji wa fastjet naomba radhi kwa watanzania wote kwa mfanyakazi wetu kukosa nidhamu au lugha nzuri kwa mteja... naomba msamaha sana na ningependa kujua ni ofisi ipi tukio hili lilipotokea, maana tuna ofisi nyingi na huyo dada mweupe alikaa upande upi ukinisaidia kwa hilo nita hakikisha hili swala haltokei tena.
kwa ujumla fastjet tutawaonya na kuwakumbusha wafanyakazi wetu wote juu ya umuhimu wa kuwa na lugha nzuri na yenye busara. nakuahidi measures will be taken.
ASANTE KWA KUICHAGUA FASTJET
asante kwa kuipanda na tunaomba radhi sana kwa kero zozote ulizozipata, kumbuka kwamba sisi ni kampuni mpya na carrer mpya Tanzania, mwanzo mgumu ila tunaimani muda si mrefu tutakaa sawa kwani tunarekebisha makosa yetu moja baada ya moja. asante.
Fastjet sio mbaya wabaya ni watendaji wake.... unaweza kuwa na nia nzuri sana lakini wewe kama kiongozi huwezi fika kila mahali kwa wakati mmoja!may be muweke namba ya simu ili mteja akihudumiwa vibaya apige simu muda huo huo la sivyo kidagaa kitawadodea....kumbuka kampuni ikifa hata hzo ajira mlizo nazo zitapotea.
Makampuni mengi ikiwemo shoprite kuna wahudumu wamekuwa na tabia ya kuwagombeza wateja na kuwadharau jhata pale wanapokuwa hawana makosa, ukiuliza unaambiwa mara anatembea na boss , oohh mara vile na hatua yoyote haichukuliwi. Siipendi Tanzania kwa hili, hela uitafute kwa shida na bado wakati wa kuitumia unyanyaswe................TUHESHIMIANE JAMANI
Kweli mrembo umenena utafute pesa yako kwa shida alafu wahudumu waje wakupe shida tena kwa kauli zao mbovu....waweke number number za kuripotti makosa yao
Naona watendaji fast jet hwajui kuwa mteja ni mfalme.
Mnene_mweupe....namfahamu...ngoja nimnange kimya kimya...lo!
Kweli lazima utakuwa unamjua.....mwambie na yule mwenzie mwembamba awe na kauli nzuri pia......
zamlock mimi kama msemaji wa fastjet naomba radhi kwa watanzania wote kwa mfanyakazi wetu kukosa nidhamu au lugha nzuri kwa mteja... naomba msamaha sana na ningependa kujua ni ofisi ipi tukio hili lilipotokea, maana tuna ofisi nyingi na huyo dada mweupe alikaa upande upi ukinisaidia kwa hilo nita hakikisha hili swala haltokei tena.
kwa ujumla fastjet tutawaonya na kuwakumbusha wafanyakazi wetu wote juu ya umuhimu wa kuwa na lugha nzuri na yenye busara. nakuahidi measures will be taken.
ASANTE KWA KUICHAGUA FASTJET
Kwa fast jet Nadhani team nzima imeoza... Nilikuwa nimekata ticket ya katikati ya mwezi Sa kwanza. KIA Dar KiA .baadaye nikalazimika kuhahirisha safari kwenda April. Nikaenda KIA 48 hours before the trip date.mhudumu akaniambia nimwachie atashughulikia...
Kesho yake akanipigia simu kuniambia kulikuwa na Tatizo la system ila nisiwe na wasiwasi system ikiwa ok aatsshughukia. Siku inayofuata ilikuwa jumapili jioni baada ya kumpigia sana bila kupokea simu yangu niliamua kutumia simu ya rafiki yangu ndipo aka pokea na kujipanga namba ya marketing personnel wao makao makuu kwa madai ya Kuwa flight za April hazipo kwenye system.
Nilipompigia Huyo marketing peronel ananiambia nimpigie kesho saa nne. Nikamkumbusha Kuwa kesho ndipo nilitakiwa kusafiri... Akanijibu very short ... Kwamba Hana anoloweza kunisaidia Kwani mpaka muda huo ticket yangu itakuwa no show passenger hivyo sitastahili kusogeza wala kulipwa chochote ....
Hawa fast jet ni wezi
Weka namba zao za simu hawa wooote ulioongea nao. Vitendo zaidi. Mimi ntajitolea kuwapigia na kuwatukana washenzi kabisa
Muonamambo pole sana kwa hilo lililokukuta, tunaomba utuambie ni marketing personnel gani alokupa hayo majibu? kama unaweza pata jina lake ingesaidia sana kurekebisha kosa hilo lisitokee kwa mtanzania mwingine. ila fastjet sio wezi hata kidogo ndo maana tumeamua kurekebisha madhaifu yetu yote to grow stronger.
Fast jet KIA Kijana anaitwa domisian 0757-619-550 na marketing personel nilitambulishwa kama Gabriel ni ni +255 782 840-540... Ndugu hawa watu hawajali wateja nilipoteza nauli zote za two flight kwa uzembe wao na dharau zao