Fast Jet kununua ndege mpya 6 kwa ajili kurejesha shughuli zake kwenye soko la Tanzania

Shirika la ndege la Fast Jet liko mbioni kununua ndege mpya sita kwa ajili ya kurejesha shughuli zake kwenye soko la Tanzania huku likiendelea na mchakato wa kutafakari aina ya mwekezaji wanayemtaka kufanya nae biashara.

Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Fast Jet Lawrence Masha amezungumza hilo huku akisema wataleta ndege mpya sita za kuanzia kwanza na lengo ni kurejesha safari za Afrika Kusini, Nairobi na Mombasa huku akibainisha kwamba wamelipa madeni yaliyokuwa wanadaiwa na mamlaka ya shirika la anga nchini.View attachment 1034927
Huyu mkurugenzi mambo yake kama ya Konki, nahisi kadata, anajiongelea tu siku ziende
 
Shirika la ndege la Fast Jet liko mbioni kununua ndege mpya sita kwa ajili ya kurejesha shughuli zake kwenye soko la Tanzania huku likiendelea na mchakato wa kutafakari aina ya mwekezaji wanayemtaka kufanya nae biashara.

Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Fast Jet Lawrence Masha amezungumza hilo huku akisema wataleta ndege mpya sita za kuanzia kwanza na lengo ni kurejesha safari za Afrika Kusini, Nairobi na Mombasa huku akibainisha kwamba wamelipa madeni yaliyokuwa wanadaiwa na mamlaka ya shirika la anga nchini.View attachment 1034927
Safi sana. umepambana na changa moto na umeweza kukabiliana nazo vyema. Hivi ndivyo inavyotakiwa na siyo kulia lia kama wengine wanavyofanya
 
Ki
Kumbe hii biashara ina faida eeh? Pamoja na kupata hasara kila mwaka bado Fastjet wanang'ang'ania kufanya hii biashara? Basi zile zitakuwa zilikuwa hasara za kwenye makaratasi.
kuna mkuu anafanya biashara kwa kupitia watu wengine
 
Kwani anayepanda ndege yukoje ana pua tatu na miguu minne au?
Tatizo sio pua tatu wala nini, tatizo ni kipato chako cha buku 7 pale Lumumba, au unafananisha nauli ya kutoka sinza mpaka magomeni?
 
Nanukuu maneno ya Msukuma
“Masha hawezi hata kumiliki helikopta kama yangu,Leo anunue ndege6?”
 
Wafanyakazi hata mishahara hawajapewa leo anasema analeta ndege sita???labda kwareeee

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Fastjet pesa zetu tulizonunua tiketi mkashindwa kutusafirisha na ofisi zenu mkafunga ghafla tusiwe na pa kwenda tumeziweka.tunawalia timing mtakuja lipa na riba juu nyie jikausheni tu

Umeshadhurumiwa ndugu yangu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Shirika la ndege la Fast Jet liko mbioni kununua ndege mpya sita kwa ajili ya kurejesha shughuli zake kwenye soko la Tanzania huku likiendelea na mchakato wa kutafakari aina ya mwekezaji wanayemtaka kufanya nae biashara.

Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Fast Jet Lawrence Masha amezungumza hilo huku akisema wataleta ndege mpya sita za kuanzia kwanza na lengo ni kurejesha safari za Afrika Kusini, Nairobi na Mombasa huku akibainisha kwamba wamelipa madeni yaliyokuwa wanadaiwa na mamlaka ya shirika la anga nchini.View attachment 1034927
Msimsikilize huyu ni tapeli tu,anawezaje kuleta ndege sita wakati ameshindwa kuwalipa wafanyakazi mishahara ya mwezi wa kwanza na wa pili?,Anasema ameinunua fastjet wakati hata senti tano hajaweka huyo mlevi tu naona konyagi zilikuwa kichwani wakati anaongea serikali isaidie wafanyakazi walipwe stahiki zao kutoka fastjet PLC siyo Huyo mpuuzi anabwabwaja tu
 
Back
Top Bottom