Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,324
- 5,934
Sawa tutashukuru hili shirika lilikuwa mkombozi kwa wengi hasa kwa unafuu wa nauli zao
Kweli kabisa, atcl bei zao ziko juu mno, kwa sisi wamasikini hatuwezi
Sawa tutashukuru hili shirika lilikuwa mkombozi kwa wengi hasa kwa unafuu wa nauli zao
Ushindani muhimu, utasaidia kuongeza viwango, ufanisi, kupunguza nauli, huduma nzuri kwa mteja.
Welcome back Fast Jet.
Unafikiri atcl wanatamani fsjet irudi!! Wanajuwa kabisa ikirudi wateja watapungua na bei zitashuka.
Umefikaje.fikaje huku?Propaganda za Fastjeta
Kasuku AirlinesUmefikaje.fikaje huku?
Kwa hii serikali ya wazee wa figisu figisu szani kama wataruhusiwa ku operate tena!! Kwani mindege ya jamaa itaweza kukosa abiria, kama nauli zao zitakuwa kama zile za zamani!! Duniani kuna watu wa wana vitimbi kuliko hata vya shetaniWarudi tuone itakuwaje kwenye soko la ushindani
Maskini unapanda ndege ya nini?Kweli kabisa, atcl bei zao ziko juu mno, kwa sisi wamasikini hatuwezi
Serikali ya awamu ya tano inakubali ushindani ndiyo maana inaweka mazingira mazuri kwa wawekezaji wetuKwa hii serikali ya wazee wa figisu figisu szani kama wataruhusiwa ku operate tena!! Kwani mindege ya jamaa itaweza kukosa abiria, kama nauli zao zitakuwa kama zile za zamani!! Duniani kuna watu wa wana vitimbi kuliko hata vya shetani
Time will tell!!!Serikali ya awamu ya tano inakubali ushindani ndiyo maana inaweka mazingira mazuri kwa wawekezaji wetu
Maskini huwa hapandi ndegeKweli kabisa, atcl bei zao ziko juu mno, kwa sisi wamasikini hatuwezi
Safi sana..But ushauri wangu msije mkaweka domestic trip Kuna mshindani apendi kushindwa atawaletea figusi..Shirika la ndege la Fast Jet liko mbioni kununua ndege mpya sita kwa ajili ya kurejesha shughuli zake kwenye soko la Tanzania huku likiendelea na mchakato wa kutafakari aina ya mwekezaji wanayemtaka kufanya nae biashara.
Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Fast Jet Lawrence Masha amezungumza hilo huku akisema wataleta ndege mpya sita za kuanzia kwanza na lengo ni kurejesha safari za Afrika Kusini, Nairobi na Mombasa huku akibainisha kwamba wamelipa madeni yaliyokuwa wanadaiwa na mamlaka ya shirika la anga nchini.View attachment 1034927