Ilulu Senior Member Joined Mar 22, 2008 Posts 161 Reaction score 32 Apr 11, 2011 #1 Attachments examples_of_antifashion_640_60.jpg 35.2 KB · Views: 687
S shoshte Senior Member Joined Apr 9, 2011 Posts 129 Reaction score 20 Apr 11, 2011 #2 Ndo mlegezo mpya nini sasa wadau?
A allydou JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 1,603 Reaction score 1,065 Apr 11, 2011 #3 huyo mdada sijui mmama wa chini hapo kiboko, utafikiri ile kitu inayopendwa sana na wachaga a.k.a kitimoto.
huyo mdada sijui mmama wa chini hapo kiboko, utafikiri ile kitu inayopendwa sana na wachaga a.k.a kitimoto.
Vinci JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 2,637 Reaction score 675 Apr 11, 2011 #4 Acha uzushi wewe....kitimoto inapendwa na kila mtu...muulize huyo ulioko nayo hapo wakati unasoma hii thread usikie jibu lake allydou said: huyo mdada sijui mmama wa chini hapo kiboko, utafikiri ile kitu inayopendwa sana na wachaga a.k.a kitimoto. Click to expand...
Acha uzushi wewe....kitimoto inapendwa na kila mtu...muulize huyo ulioko nayo hapo wakati unasoma hii thread usikie jibu lake allydou said: huyo mdada sijui mmama wa chini hapo kiboko, utafikiri ile kitu inayopendwa sana na wachaga a.k.a kitimoto. Click to expand...
S Shada Member Joined Nov 26, 2010 Posts 7 Reaction score 0 Apr 12, 2011 #5 Picha ya pili nimeikubali sanaaa!!!,-nategmea sana siku sionyingi Dada zangu wa Kibongo wataiga tuu!!! kwa kuwa ni mabingwa wa kufanya hivyo
Picha ya pili nimeikubali sanaaa!!!,-nategmea sana siku sionyingi Dada zangu wa Kibongo wataiga tuu!!! kwa kuwa ni mabingwa wa kufanya hivyo
boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,321 Reaction score 318 Apr 12, 2011 #6 nimependa hii fashion ingawa simshauri mwanamke ninayemfahamu kuifuata