Fasheni nyingine majanga

Hata kuvutia yenyewe hajavutia?Yani kajidhalilisha tu
 
Fasheni hizi!

Huyo ukitembea nae bega kwa bega pande za kariakoo jiandae kuzomewa na miluzi juu
 
Fasheni hizi!

Huyo ukitembea nae bega kwa bega pande za kariakoo jiandae kuzomewa na miluzi juu

Kuzomewa mbona cha mtoto HARUFU? Kukimbizwa kabisa
 
Last edited by a moderator:
Watu wa jinsi hii huwa wanakuwa na mapungufu/ madhaifu fulani mwilini hivyo hujaribu kuufidia kwa kufanya jambo lingine la ziada ikiwemo kuvaa kama huyo au makeups zilizopitiliza

Ni watu ambao hawajiamini na muda mwingi ni watu wa kujistukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…