Faru John Uchunguzi wa Haraka/Marehemu wa Mto Ruvu?

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
Ni jambo la kusikitisha na la albu kwa leo hapa Tanzania kupatikana maiti 7 zilizofungwa kwenye gunia na kutupwa mto Ruvu.
Serikali lazima ifanye Uchunguzi na itoe taarifa kilichowasibu hawa marehemu nini, itakuwa ni aibu kwa ripoti ya kifaru John kuwakilishwa kwa Waziri mkuu haraka wakati hawa marehemu wanazikwa haraka bila hata kufanyiwa postmortem kujua sababu zilizosababishwa na vifo vyao na kutupwa mtoni, serikali iliitakiwa kutangaza kwa wananchi waliopotelewa na ndugu kuja kufanya ama kutambua maiti hizo badala ya kuzizika kwa haraka.
 
Back
Top Bottom