Faru John sawa na wamasai 80,000?

Faru John sawa na wamasai 80,000?

souljah meditater

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
2,146
Reaction score
2,102
18595435_10155197472664333_8054989716641725613_o.jpg


Wakuu mwenye taarifa kamili kuhusu hicho kichwa cha habari kama kinavyoonekana kwenye hiyo attached naomba atudadavulie zaidi huyo mwandishi aliandika nini kwenye hiyo habari
 
haa haaa nacheka kama mazuri!!! sijui wametumia kigezo gani.....akili, uzito au thamani?
kweli hatari mkuu may be moja kati ya hivi vigezo ulivyovitaji vimehusika... akili, uzito au thamani?
 
Ni sawa ila why wasiseme inalisha wananchi kadhaa mpk wataje kabila ya watu
 
Hahahahahaaaa mi sijasomea hiyo tathimini ngoja wataalam waje


Serikali ina hela bn, yan hao mafaru wawili tu wanaweza kulisha zaidi ya mikoa 3 ya Tz je tukiangalia mamilioni mengine yanayo fujishwa hovyo? Viongozi wa Bongo Mungu anawaona!
 
Serikali ina hela bn, yan hao mafaru wawili tu wanaweza kulisha zaidi ya mikoa 3 ya Tz je tukiangalia mamilioni mengine yanayo fujishwa hovyo? Viongozi wa Bongo Mungu anawaona!
Je hao faru wanaingiza pesa kiasi gani kutokana na utalii?

Bila hao faru watalii watakuja na kulipa dollars?

Mimi kipindi nafuga kuku uangalizi wao ulikuwa mkubwa kuliko budget yangu ya msosi
 
Tafuta hilo gazeti, unaweza kukuta ni vitu viwili tofauti
 
Back
Top Bottom