:Uongozi ndani ya CCM si cheo, bali ni dhamana inayopatikana kwa safari ya majaribio, maumivu, subira na kujitoa bila masharti. Wapo waliogombea na wakashindwa, lakini hawakurudi nyuma wala kuhama Chama. Walitumikia chama kwa nguvu zote, wakajenga imani, na leo wamepewa tena nafasi ya kugombea wakashinda hivyo twendeni tukatafute ushindi wa Chama chetu na wagombea wetu" amesema Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani alipokuwa akizungumza kwenye kikao cha ndani na Vijana wa kata ya Kilimille wilayani Missenyi, ikiwa ni mwendelezo wa mikakati ya kutafuta ushindi wa CCM katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025