Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 8,319
- 16,487
Asalam alykum all members of jf chef.
Naomba kufundishwa juu ya matayarisho ya ile nyama tunaoweka katikati ya burger.
Kwa upande wa ule mkate sina tatizo, ila kama ntapata recipe yake pia sio mbaya pengine ntapata kitu tasty zaidi.
Ila ile nyama sasa ndo kimbembe, jee kuna beef zake special? Au ni stake ya kawaida ina upishi wake tu?
Tunataka tuwe tunapika majumbani, ili tusipate tena kubunwa mahela yetu kwenye cafe, and hotels.