Farasi

Farasi

Kambaku

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
8,914
Reaction score
33,137
Waungwana swalama? Wale wa kufunga, poleni na hongereni sana.

Nina shida ya kununua farasi na kumfuga kwa Dar es salaam, ni wapi naweza pata mbegu nzuri ya farasi, kwa yoyote mwenye idea ya mahali au na bei tafadhali nijulishe.
 
farasi wanapatikana national ranch (narco) 4more details just nitafute
 
Chuo cha Polisi Moshi pia wapo ila sina uhakika kama wanauzwa ua la. Cheki na yeyote maeneo hayo akujuze
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom