Fao la kujitoa PPF

Fao la kujitoa PPF

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
8,324
Reaction score
17,911
Wakuu naomba kuelimishwa,nirikuwa muajiriwa wa kampuni moja ya simu,kampuni hiyo imeisha kufa sasa haipo tena kwa kipindi cha mwaka mmoja sasa, ofisi imefungwa,na waliokuwa wafanyakazi wake kwenye idara ya HR,wote wameajiriwa na kampuni zingine hapa Bongo.

Sasa shida yangu nataka kufatilia mafao yangu ya PPF,Je utaratibu upoje? katika hari kama hii,sasa hivi nipo kwenye ajira nyingine na nipo kwenye mfuko mwingine wa hifadhi ya jamii.

Naombeni ushauri wenu wakuu,amen
 
Nenda mwenyewe mfuko huskies ambao Macao yaks yalikuwa yanapelekwa then wapiti jina na seems uliokuwa unafanya kazi wanakupa procedeur zone na heal zako utapata
 
kabla ya yote,ningekushauri kwanza uwe na uhakika kama hiyo ofisi yako ilikuwa inakuingizia pension,if yes-inabidi uwe na member-id,km huijui nenda tawi lolote la ppf colazima m/makuu uwatajie jina lako na kampuni uliyokuwa unafania kazi wao wataambia namba yako ya uanachama.
Baada ya hapo sasa unaweza ukawaeleza situation yako
 
kabla ya yote,ningekushauri kwanza uwe na uhakika kama hiyo ofisi yako ilikuwa inakuingizia pension,if yes-inabidi uwe na member-id,km huijui nenda tawi lolote la ppf colazima m/makuu uwatajie jina lako na kampuni uliyokuwa unafania kazi wao wataambia namba yako ya uanachama.
Baada ya hapo sasa unaweza ukawaeleza situation yako

kwani anaye takiwa kuhakikisha pesa inaingia kwenye account yako ppf ni nani mwanachama au wafanyakazi wa mfuko wa jamii husika?
 
PPF ni wasumbufu sijapata kuona,,, ila kama una uhakika michango yako ilienda kwao wacheki ofisin kwao na wanapenda sana uwe na receipt no,,, ila jiandae kwa usumbufu ulio bobea
 
kwani anaye takiwa kuhakikisha pesa inaingia kwenye account yako ppf ni nani mwanachama au wafanyakazi wa mfuko wa jamii husika?[/QUO

ww ndio mhusika mkuu,co unatakiwa uhakikishe hela yako inaingia,co km hawakuingizii,ukae tu hvhv wakati ni haki yako..
 
PPF ni wasumbufu sijapata kuona,,, ila kama una uhakika michango yako ilienda kwao wacheki ofisin kwao na wanapenda sana uwe na receipt no,,, ila jiandae kwa usumbufu ulio bobea

Nikitaka kuhama huu mfuko inawezekana?!Nachukua hatua gani?
 
Mtoa mada sidhan kama utapata hayo mafao kama ni ppf naowajua mimi wasumbufuuu
 
Fao la kujitoa linatolewa na mifuko yote nchini iwapo ume amua Ku resign, au umefukuzwa kazi unaenda na barua hy ya kufukuzwa au kuresign mfuko uliokuwa unachangia na kujaza form za withdrawal benefit claim form unapeleka kwa mwajiri ajaze part yake na wewe unajaza part yako kwa mafao kuchelewa inategemea kuna factor Nyingi hapo zina pelekea kama mwajiri kuchelewesha uwasilishaji wa michango, au mteja kusahau sign alizo sign mwanzoni ktk form za mfuko mteja anakuwa na sign zaidi ya1, nyingine majina kutofanana, mwajiri kusahau kusign yani factor ninyingi cha muhimu nikuwa makini kukumbuka sign za awali wakati unajaza form za kujiunga na mfuko, kufatilia mtiririko wa michango yako ktk mfuko iliutapo staafu au kujitoa dai lako liwahi kuja
 
Fao la kujitoa kulipwa ni sasa limekuwa kitendawili kwangu.

Nimefuata taratibu zote na documents zote ikiwamo barua ya kuacha kazi na fomu za kujitoa, niliziwasilisha PPF makao makuu, waliniambia ndani ya wiki mbili ila sasa miezi miwili imepita.

Naomba kujua huwa inachukua muda gani kulipwa?


 
Baba fey, ingia kwenye web site yao kuna self help portal, ingiza taarfa zako utajua status ya claim yako
 
-FAO LA KUJITOA KULIPWA NI SASA LIMEKUWA KITENDAWILI KWANGU.
-NIMEFUATA TARATIBU ZOTE NA DOCUMENTs ZOTE IKIWAMO BARUA YA KUACHA KAZI NA FOMU ZA KUJITOA, NILIZIWASILISHA PPF MAKAO MAKUU, WALINIAMBIA NDANI YA WIKI MBILI ILA SASA MIEZI MIWILI IMEPITA.

NAOMBA KUJUA HUWA INACHUKUA MUDA GANI KULIPWA??

Pole kiongozi,ppf ilikuwa mwezi tu unachukua mafao,umeangali michango yako yote ilipelekwa?
 
Kama uko Dar sema nikupe namba ya mtu. Lkn utampa hela ya vocha.
 
Back
Top Bottom