CHA The GREAT
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 651
- 853
nikweli jamani mimi pia ni muhanga wa hilo jambo tajwa hapo juu nimefanya kazi miaka 3 kampuni fulani kwanza ulipaji wa mishahara nilikuwa shida sana pia michango haiendi kwa wakati, mpaka sasa michango iliyo pelekwa ni 720,000/ out of 4,500,000, ukiwauliza PPF wanasema mwajiri kapelekwa mahakamani tangu 2012 mpaka sasa hakuna kitu kabisaaa sasa mpaka nifikishe miaka 55 au 60 sina kazi mtoto wa masikini inakuwaje,For my thinking capb na waajiri wanatakiwa kutupa mishahara ya ya miaka iyo in adv.
Namuomba Rais wetu mpendwa JPM aliangalie hili kwa upana wake ili sisi watoto wa wakulima tupate haki zetu maana nimeshazungushwa sana na hyo kampuni mpaka wananiambia nenda kokote, sasa najiuliza sisi watu wa hali ya chini tukimbilie wapi?nikweli jamani mimi pia ni muhanga wa hilo jambo tajwa hapo juu nimefanya kazi miaka 3 kampuni fulani kwanza ulipaji wa mishahara nilikuwa shida sana pia michango haiendi kwa wakati, mpaka sasa michango iliyo pelekwa ni 720,000/ out of 4,500,000, ukiwauliza PPF wanasema mwajiri kapelekwa mahakamani tangu 2012 mpaka sasa hakuna kitu kabisaaa sasa mpaka nifikishe miaka 55 au 60 sina kazi mtoto wa masikini inakuwaje,
leo hii tuna nyanyasika na makampuni binafsi mishara shida kupata kufukuzwa kila kukicha tunafamilia nyuma zinatutegemea, sasa hata kidogo tunacho kipata tunaambiwa kusubiri mpaka miaka 55 jaman, serikali ituangalie kwa hili.Namuomba Rais wetu mpendwa JPM aliangalie hili kwa upana wake ili sisi watoto wa wakulima tupate haki zetu maana nimeshazungushwa sana na hyo kampuni mpaka wananiambia nenda kokote, sasa najiuliza sisi watu wa hali ya chini tukimbilie wapi?
Hivi muhusika mkuu wa mimi kurepot issue yangu ya michango kwanza mpaka leo haijapelekwa niipeleke wapi?leo hii tuna nyanyasika na makampuni binafsi mishara shida kupata kufukuzwa kila kukicha tunafamilia nyuma zinatutegemea, sasa hata kidogo tunacho kipata tunaambiwa kusubiri mpaka miaka 55 jaman, serikali ituangalie kwa hili.
Maana katikan 4.5 mil. kuna 720,000 kweli? mwenye ufahamu na hili anisaidie.Hivi muhusika mkuu wa mimi kurepot issue yangu ya michango kwanza mpaka leo haijapelekwa niipeleke wapi?
Kujengea vi-wonder hela za watu, nani kasema. Labda kama tumefanywa misukule. Watajengea hela zao si za kwetu.Rais ameshaahidiwa kwamba hela za mifuko ya jamii itatumika kujenga Vi_wonder OVER!
Frank haya mambo ya kuomba wakati haki ni yako, huwa mabaya sana, Unachotakiwa kufanya ni KUDAI, kwa sababu ile ni haki yako. Ni hela yako ile. Wakati unafanya kazi hakuna aliyekusaidia, kodi ulilipa. Sasa kama hata kodi ulilipa, kisha anakuja mtu anazuia pesa zako na wewe unaanza kumuomba akupe badala ya kudai, utaishia kustaajabu tu. Tufungane mkanda, mimi wewe, na yule na tuidai haki yetu.Namuomba Rais wetu mpendwa JPM aliangalie hili kwa upana wake ili sisi watoto wa wakulima tupate haki zetu maana nimeshazungushwa sana na hyo kampuni mpaka wananiambia nenda kokote, sasa najiuliza sisi watu wa hali ya chini tukimbilie wapi?
wanakudanganya, na usithubutu kuacha kazi mwenyewe, utakuwa umeliwa.Mbona Mimi nimeenda NSSF juzi hapa ila kwa bahati mbaya nilikuwa sijafikisha miezi sita toka niache Nazi wakasema ikifika tu nipeleke barua ya kuacha kazi nijaze form ya madai ya FAO la kujitoa ,imekaaje hii wadau