scaltingscalting
Senior Member
- Feb 10, 2017
- 146
- 55
....Amechanganya mada nilichosikia,na hata JPM May mosi alikisema ni kwamba wanafikiria kupeleka muswaada bungeni ili mfanyakazi akipoteza ajira apewe asilimia fulani ya mafao yake aweze kujikimu wakati akirafura ajira tena.Sasa bima ya afya inahusika vipi kwenye pesa za nssf? jamaa naona akili hawana...
....Amechanganya mada nilichosikia,na hata JPM May mosi alikisema ni kwamba wanafikiria kupeleka muswaada bungeni ili mfanyakazi akipoteza ajira apewe asilimia fulani ya mafao yake aweze kujikimu wakati akirafura ajira tena.
Kwa nini Serikali inahangaika na Jasho la watu? Hizo ni pesa za wafanyakazi
Wanahaha kufanya hujuma na kukopa
Lini Watanzania watapata haki zao? Nchi ya Kikoloni hii
Mfanyakazi apewe pesa zake zote...sio kupangiwa
Hao wanaopanga na kuhujumu pesa za wafanyakazi wana mishahara minono, wana nyumba na akiba benki. Wafanyakazi wengi ni masikini na mshahara ni "hand to Mouth"...hakuna akiba inasalia..
Wabunge kila baada ya Miaka 5 wanapewa Bulungutu, zaidi ya Millioni 100
Habari za asubuhi wapendwa.
Naomba kuuliza mtu akiacha kazi especially huku private sector , je anaruhusiwa kuchukua hela yake maana nimesikia kuwa hawa jamaa NSSF hawatoi hela mpaka ufikishe miaka 60 Na je Ni kweli?
Asante