Du kwa hiyo Dr. MziziMkavu unataka kutuambia hawa better half wetu mazoezi ni tatizo!!! Halafu wakishaharibika utasikia thread kibao zinaanzishwa kuhusu jinsi ya kupunguza kitambi!!! Hadiogo ametisha, mama atakuwa amekaa na kasoda kake akiwashangilia. Kazi ipo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.