S√sinx.dx
Hapa hakuna ujanja zaidi ya kutumia By-Part method.
ie. SVdU=UV-SUdV----eqn(a)
let dU=dx
Integrating both side
=>U=x------eqn(i)
and V=(sinx)^½
differentiating both sides
=>dV=(cosx)/(2√sinx)-------eqn(ii)
Substituting ---eqn(i)&(ii) into --eqn(a)
SVdU=x√sinx - 1/2S(xcosx)dx/(√sinx)
For S(xcosx)dx/(√sinx)
By By-Part tena
SUdV=UV-SVdU
Hapa let
U=x
=>dU=dx
And
dV=(cosx)/(√sinx)
Integrating both sides
=>V=2√sinx (kama hujaelewa hapo basi wewe ni kilaza)
NIMECHOKA KUANDIKA
NATHANI MTAKUA MMEPATA MWANGA
(KAMA HUJUI HESABU KAA KUSHOTO)
mkuu naona matunda ya pale kileleni chin ya usimamiz wa engeneer
Duh mkuu twende taratibu sasa kashfa za nini tena? si watu wanajifunza kulikuwa hamna umuhimu wa maneno yote haya!
S√sinx.dx
Hapa hakuna ujanja zaidi ya kutumia By-Part method.
ie. SVdU=UV-SUdV----eqn(a)
let dU=dx
Integrating both side
=>U=x------eqn(i)
and V=(sinx)^½
differentiating both sides
=>dV=(cosx)/(2√sinx)-------eqn(ii)
Substituting ---eqn(i)&(ii) into --eqn(a)
SVdU=x√sinx - 1/2S(xcosx)dx/(√sinx)
For S(xcosx)dx/(√sinx)
By By-Part tena
SUdV=UV-SVdU
Hapa let
U=x
=>dU=dx
And
dV=(cosx)/(√sinx)
Integrating both sides
=>V=2√sinx (kama hujaelewa hapo basi wewe ni kilaza)
NIMECHOKA KUANDIKA
NATHANI MTAKUA MMEPATA MWANGA
(KAMA HUJUI HESABU KAA KUSHOTO)
aiseee engineer alikua nowma atii mpaka giza jamaa anag'ang'ania kufundisha kweli kila mtu na fani yake aisee. alaf kumbe jamaa alipigaga mechanical engineering, sasa ndo akawa ana apply kwetu.
but all in all here we are.
Mungu ibariki Tanzania
mungu ibaliki kilele××××
Duh mkuu twende taratibu sasa kashfa za nini tena? si watu wanajifunza kulikuwa hamna umuhimu wa maneno yote haya!
haha ni kwere mpaka jina likawa mathematics institute ni mwendo wa 6am-7pm
Kijana nakumbuka ticha wangu alikua ana piga swali juujuu ukimuuliza mwalimu hapo sijakupata yaani anaacha kufundisha anakugeukia utakula mabango mpaka basii
ata kwambia huko O-Level ulipitaje? uli ibiaeee???
namaswali mengineyo.
Yuludi kwenye mada mpaka mtu ufikie swali hilo inamaana umekomaa integration ndo maana nikasema kama huja elewa mpaka simple method niliyo tumia basi utakua hujui integration (ie. KILAZA WA INTEGRATION)
Kwani Mkuu nimekuacha sehemu??
NingaR Hizo letting zina utata. Let u=x nadhani sio sahihi because hiyo x iko ndani ya underoot ya sin x. Sijui umeitoaje nje labda ungelet u iwe kitu chote haf dv iwe dx. Hata hivyo sijui utafanya mara ngapi ili liishe. Nangeshukuru kama ungerudi na kutoa ufafanuzi wa ziada.
vilaza bhana
S√sinx.dx
Hapa hakuna ujanja zaidi ya kutumia By-Part method.
ie. SVdU=UV-SUdV----eqn(a)
let dU=dx
Integrating both side
=>U=x------eqn(i)
and V=(sinx)^½
differentiating both sides
=>dV=(cosx)/(2√sinx)-------eqn(ii)
Substituting ---eqn(i)&(ii) into --eqn(a)
SVdU=x√sinx - 1/2S(xcosx)dx/(√sinx)
For S(xcosx)dx/(√sinx)
By By-Part tena
SUdV=UV-SVdU
Hapa let
U=x
=>dU=dx
And
dV=(cosx)/(√sinx)
Integrating both sides
=>V=2√sinx (kama hujaelewa hapo basi wewe ni kilaza)
NIMECHOKA KUANDIKA
NATHANI MTAKUA MMEPATA MWANGA
(KAMA HUJUI HESABU KAA KUSHOTO)
Mimi kwangu hiyo ni integration rahisi sana, sema saa nyingine mtu unakuwa hutambui impact ya kitu unachokisema au kukiandika kwa mtu mwingine haswa pale mtu anapokuwa ameuliza swali, kumbuka in mathematics we all have our gaps, kwa maana hapo sio swala tu kuintegrate ni lazima pia ajue kutumia differentiation by chain rule ili kufikia jibu na kama alikuwa hafahamu anaweza akarudi na kuziba hayo mapengo inaezekana tutiane moyo tu wote tunejenga nyumba moja!
NingaR Hizo letting zina utata. Let u=x nadhani sio sahihi because hiyo x iko ndani ya underoot ya sin x. Sijui umeitoaje nje labda ungelet u iwe kitu chote haf dv iwe dx. Hata hivyo sijui utafanya mara ngapi ili liishe. Nangeshukuru kama ungerudi na kutoa ufafanuzi wa ziada.
Kijakazi kwenye S(underoot sin x)dx sio sahihi kusema u=x ila ingepaswa kuwa dv=dx ambayo finnaly inaleta v=x utata unakuja kwenye u ukiilet iwe lote liiilobaki inaweza chukua steps nyingi kweli sijui utaifupisha vp!

Mkuu kwani VP??
Nisaidieni 'intergral of the Squareroot of Sin X with respect to X' Ahsanteni.