Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,763
- 27,152
Mabinti, hasa nyie wadogo wa alfu mbili, hata akuambiaje, Usijichanganye kumzalia mtoto.
Ukitaka kujua huyo baba watoto wako mtarajiwa atakuwaje mkikosana na mna mtoto nenda kasome replies za wababa kwenye uzi wa jana wa waziri Dkt. Gwajima D - Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto - humo wamefunguka bila kuficha makucha yao.
Usiwe kama kenge mpaka uvuje damu ndiyo usikie - USIMZALIE BILA NDOA au UHAKIKA WA KUWEZA KUHUDUMIA MWANAO PEKE YAKO BILA YEYE.
Ni hayo tu, siku njema kwenu!
********
Naomba mtoe neno kwenye hili Lamomy , Leejay49 , nakwede97 , Demi , Aaliyyah , Mamndenyi , Bantu Lady , Ms R , leo dada , Numbisa , cocochanel , cocastic , Evelyn Salt , ephen_
Cc:
Wanawake wa JF:
waifu material * Mallerina
Atoto * Sister Abigail
realMamy ⋆ Qashy Lilith⋆ To yeye
Msweet ⋆ Chujio * Palina
Anastasia21 * ledada ⋆ Carleen * Midekoo
Mama Mwana * Hornet
SweetyCandy ⋆ Ellerie Bexley
Donatila *Jackcharty * Kelsea * Braying * Mrs Byesige
- Hakuna jukumu kubwa kwenye maisha zaidi ya kuzaa na kulea watoto. Mwanaume akikuambia bado hayuko tayari kukuoa ila anataka umzalie, huyo ni tapeli kama matapeli wengine tu.
- Kama huna kipato cha kueleweka usizae kiholela. Na ukiolewa, hakikisha una shughuli ya kiuchumi ya kukuwezesha kuhudumia watoto wako ikitokea amekutelekeza, mmeachana au bahati mbaya amefariki.
- Mapenzi kunoga na ahadi za kukuoa siyo sababu ya kubeba mimba. Wanaume wasio wababaifu, wenye kujua nafasi yao kwenye malezi wamebaki wachache sana ni kama bahati nasibu (Rejea hoja No 1 & 2).
- Zaa kwa ajili yako pale utakapokua tayari kiuchumi, kiakili na kimwili. Usizae ili uolewe au ili umtulize mwanaume, fahamu kuwa jukumu la malezi kwa kiasi kikubwa ni lako kama mama na yakitokea matatizo, atakayehangaika na mtoto / watoto ni wewe.
- Tumia uzazi wa mpango kuepuka mimba zisizotarajiwa kama hutaki basi tumia Kalenda au Condom (Kama hujui namna ya kujikinga kwa kutumia kalenda njoo hapa wamama tukusaidie na tukuelimishe.)

mzaliane?